Let's be serious, kwa staili hii ya uongozi ni nani asiyeweza kuwa rais wa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Let's be serious, kwa staili hii ya uongozi ni nani asiyeweza kuwa rais wa Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Feb 7, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wanaJF tuwe wakweli,
  Hivi kwa staili ya uongozi wa kikwete ni nani anayeweza kushindwa kuongoza Tanzania? Kauli kama hii, aliwahi kutamka Baba wa Taifa Mwl. Nyerere wakati akimnadi Mkapa kwenye mkutano wa hadhara Mjini Iringa. Kama mtakumbuka wakati huo uongozi wa nchi ulikuwa umepwaya sana. Nyerere alisema nanukuu 'nchi imeongozwa hovyo hovyo kiasi cha kila mtu kujisikia kuwa anaweza kuwa rais'. Kwa mawazo yangu, uongozi wa kikwete ni hovyo kuliko hata ilivyokuwa wakati wa Mwinyi.
   
 2. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Arooo unasema raisi ana uongozi ovyo ovyo?? ngoja wenyewe wakusikie!
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimesema nchi inaongozwa hovyo hovyo.
   
 4. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa ujumla urais kwa sasa kila mtu anauweza, ndio maana hata Dovutwa aligombea
   
 5. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  hahahaha....unaogopa kusema rais ana uongozi ovyo ovyo?......mi nilifikiri humu JF "we dare to talk openly"??.....au we ni mwana JF uliyechakachuliwa?
   
 6. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  hahahah..Shapu umemtisha mwenzako mpaka ameona arekebishe usemi
   
Loading...