Let's assess safety ya Ikulu with Ferry, Fish Market, Kituo cha rapid transport

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,867
11,246
Nipo around ikulu area for three hours magari zaidi ya 400, watu maalfu na i dont see any safety hapa kikisanuka, foleni ya kuvuka kwnda kigamboni ni kubwa sana na sio strengthened security wala measures to address congestion for the safety of our beloved president

wataalam, ni sawa?
 
Mimi wasiwasi wangu ni siku tutakapotwangwa na li-Tsunami. Kutabaki kitu kweli hapo Ikulu? Sidhani...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nipo around ikulu area for three hours magari zaidi ya 400, watu maalfu na i dont see any safety hapa kikisanuka, foleni ya kuvuka kwnda kigamboni ni kubwa sana na sio strengthened security wala measures to address congestion for the safety of our beloved president

wataalam, ni sawa?
Hujui kujenga hoja, halafu hii cyo habari ya ki-Intelligencia....magari 400 unayajua ww au umeboreka na foleni ya kwenda mji wa Bush?, Ilivyo ni kwamba Ikulu ni makazi ya Rais....hapo Felly cyo ikulu bali ni ofisi ya rais so pakiungua tutamiss document za nchi za mikataba ya madini ambazo ni siri na ambazo cyo siri zimetunzwa pengine kabisa,, so hata Tsunami ikija we don't care coz aliyeko pale hatuhusu, ila tutackitika vijicent vyetu hapo twins tower na wasomi wetu hapo IFM
naomba kuwasilisha
 
Groooaaaaaan!
 
ooh Lord, what wrong have we done to allow schizos into the forum??
 
Do you know this "1600 Pennsylvania Ave NWWashington, DC 20006"? Kuna magari mangapi yanapita hapa kila siku?
 
Hujui kujenga hoja, halafu hii cyo habari ya ki-Intelligencia....magari 400 unayajua ww au umeboreka na foleni ya kwenda mji wa Bush?, Ilivyo ni kwamba Ikulu ni makazi ya Rais....hapo Felly cyo ikulu bali ni ofisi ya rais so pakiungua tutamiss document za nchi za mikataba ya madini ambazo ni siri na ambazo cyo siri zimetunzwa pengine kabisa,, so hata Tsunami ikija we don't care coz aliyeko pale hatuhusu, ila tutackitika vijicent vyetu hapo twins tower na wasomi wetu hapo IFM
naomba kuwasilisha

Aisee MTM naona tumeingiliwa na Sharobaroow, Yaaani ni Grooooooooooaaaaaaaaaan tu kwenda mbele!
 
Tunaongelea Ferry au Pennsylvania Ave?
Nadahani mnaombishia mmepoteza mwelekeo,,,huyu anatoa statistics ya kupinga uongo wa MTM kuwa pale Felly maeneo ya ''Ikulu'' kulikuwa na Magari zaidi ya 400, je inawezeekana kweli hiyo idadi ya magari kwa eneo la Felly kama c uropokaji na utopian?
 
Do you know this "1600 Pennsylvania Ave NWWashington, DC 20006"? Kuna magari mangapi yanapita hapa kila siku?
Sijui, naishi bongo

can you even start to compare US na Tanzania mkuu? huoni kwamba ni kituko hata kujaribu kufananisha??
 
Ok, on a serious note

We see how many askaris (FFU) wanaokua pale na majority huwa wanakaa vikundi kucheki magari gani yanakosea njia ya one way au yamepita just after 6pm. Level ya usirias kwakweli sijui lakini wasiwasi... kwenye que unaona jinsi struggle inavyoongezeka

Nyuma ya Ikulu kuna uyoga wa majengo marefu zaidi,, kule "airstrip" ndio wahuni wanvutia bangi na kupora watu hadi kofia, hiyo ni just 50m from our state house,

sijui bana, ila kutokana na changes za mji, si vibaya wangerevew but if they are ok then i have no problem

Naomba mweny undani wa haya mambo atusaidie hasa kwenye shield set na virtual poles
 
@Method... hapo sijui, my main concern ni ile traffic ya watu na magari na ukosefu wa robust system pale aisee, we may think tuta-rely kwa wale machinga na wavuvi but trust me hii njaa na approval ya rushwa ni hatari sana kwa lile eneo
 
@ wakihamia hayo mengine yatajijenga tu kama watakuwa na mikakati hakuna lisilo wezekana.
 
Back
Top Bottom