Leticia Nyerere: WaTanzania wengi wamepoteza uzalendo kwa taifa lao!

Amesema waTanzania, hivyo automatic CCM, CUF, NCCR-Mageuzi, CHADEMA na vyama vingine vyote nao wanahusika na kupotea kwa uzalendo huu

kwani kila anachosema ni sahihi? Wewe hukubaliani nami kuwa CCM haina uzalendo na nchi hii?
 
Huyo ndio wale macho wanayo lakini hayaoni masikio wanayo lakini hayasikii wao uongo ndio waujuao.

Tunaweza kutofautiana kwa mambo mengi tuuu bila tatizo lolote ila kuwadhihaki waasisi na viongozi wetu haileti picha nzuri
 
Nyerere mwenyewe ni nani asiyejuwa kuwa alikuwa mtu wa dhihaka? yeye amekufa na hati miliki ya kudhihaki watu na wengine wasimdhihaki?

Anadhihakiwa papa itakuwa Nyerere?

Huyo mwanamke ni muongo tena bila haya.
MUD alivyodhahakiwa na yule jamaa wa aya za shetani mkaja juu
 
alidhani kwa kuwa ni mtoto wa mwl akisema tu wataamini!huko malekani nako kuna vjj.huwezi jua alikuwa USA ya wapi.
 
Jamani, huyu mama anaejiita Leticia Nyerere, ni bado mke wa mtoto wa Nyerere?

Uongo anaousema ni huu, kuwa na kukaa kwake Merekani hajawahi kuona "Baba wa Taifa la Merekani George Washington" akidhihakiwa;

Dah! huo ni uongo wa wazi wazi, machache haya hapa ya kudhihakiwa George Washington:

Leticia, kuna tons and tons za dhihaka kwa George Washington. Unalidanganya bunge na Watanzania kwa ujumla kwani tunakuona live, kwa kuwa eti umekaa USA.

Wewe inaonesha ulikuwa unakaa USA lakini huijui USA au unaona Watanzania tu wajinga kiasi cha kutudangaya kijinga namna hiyo?

Inaonesha u mfinyu sana wa mawazo.

Wakwanza wewe unalidhihaki jina la Nyerere kwani umeshaachika na bado unalitumia kama una hati miliki nalo.

Mtu anaweza kusema kwa kukaa kwake Argentina hajawahi kuona Che Guevara akidhihakiwa, kumbe akawa anaongelea Argentina ya Manzese.

Tumuulize anaongelea Marekani gani kwanza? Isije kuwa anaongelea Marekani ya Kariakoo shimoni.
 
alidhani kwa kuwa ni mtoto wa mwl akisema tu wataamini!huko malekani nako kuna vjj.huwezi jua alikuwa USA ya wapi.

Si mtoto wa mwalimu, aliwahi kuwa mke wa mtoto wa mwalimu, alishapigwa chini zamani sana kwa mujibu wa habari za hapa na pale ni kigaga tu.
 
Soma vizuri post yangu. Analidangaya bunge na Watanzania, Kama lengo lake Nyerere asidhihakiwe angesema tu hivyo na si kudanganya eti "mimi nimekaa Merekani na Washington hadhihakiwi huko".

Uongo wa nini nyinyi magwanda?

Huu ni umbea ws Kike, mods nawaomba muanzishe jukwaa la wanawake umbea ili mkutane huko
 
haya maccm ndo maana nayaita mapunguziro hivi unamaanisha nini kwa hoja yako hiyo kwamba watu waendelee kumkashifu baba wa taifa eti tu kwasababu wamarekani wanafanya hivyo kwa babayao siyo! Lkn nyie maccm hiv ni kwanini akiri zenu mmehamishia ma------ni hii kweri ni akiri ndogo we gamba ajuzamkuu utatahiri lini akiri yako mbona umri umeenda akiri bado sifuri.!

Nyambafu afu mkitukanwa oh bavicha wamenitusi wkt mnajitukana wenyewe ------ we

Hoja hapa si kukashifiwa, wewe punguani, hata kusoma umeshindwa?

Ki maadili ya Kitanzania kumkashifu mtu ni vibaya sana, mfano kitendo cha Slaa kumpora mtu mke, ile ni kashfa ya hali ya juu sana na haikubaliki ki maadili, wacha ya Tanzania hata ya nje a Tanzania.

Hoja hapa ni "dhihaka" unajuwa maana ya dhihaka?

Halafu huyo muongo mwenzenu anasema amekaa Merekani hajaona George Washington akidhihakiwa. Huo tumebainisha hapa kuwa ni uongo wa wazi wazi. Labda wadanganye misukule wenzake.
 
Si ujinga tu. Kuolewa ni utumwa hata ubadili jina la ukoo wako?

Halafu si jina tu, amesema uongo nisome vizuri.

Isitoshe, amesma "mimi Nyerere ni Mkwe wangu" huo pia ni uongo usahihi angesema "mimi Nyerere (alikuwa) Mkwe wangu".

Very confusing indeed. Wewe tatizo lako nini? Kwamba Nyerere kama baba wa Taifa aendelee kudhihakiwa au aenziwe kwa yale mema yake? Na sisi wengine hatukumsikiliza Laetiticia Nyerere. Sasa what is the context that has led her to say what she has said. Hapo ndipo tuangalie ukweli wa kile alichosema. Na yeye ameishi Amerika na si lazima aanze kuchimba vitu ambavyo ni destructive and irrelevant au mind poisoning. Yeye kwake George Washington is to Americans what Nyerere is to Tanzanians. Kama msimamo wake uko hivyo why waste time digging issues that do no match her belief.

Halafu jina ni jina tu. Na yeye ndiye mwenye utashi wa kulitumia. Kwanini alazimishwe kuliacha? Unataka atumie lipi? Kwa faida ya nani? Kama ambavyo huwezi kumchagulia jina usimchagulie mkwe wake
 
Jamani, huyu mama anaejiita Leticia Nyerere, ni bado mke wa mtoto wa Nyerere?

Uongo anaousema ni huu, kuwa na kukaa kwake Merekani hajawahi kuona "Baba wa Taifa la Merekani George Washington" akidhihakiwa;

Hivi ile kesi ya LEMA Kuwa WAZIRI MKUU NI MUONGO ILIISHIA WAPI VILE !!!!!!! Dada yangu huna haja ya kumsafisha mwenzio kwa mikono Michafu Oga kwanza!,Kumbuka Mawaziri wengi wa Chama Chako ni Waongo Kweli kweli Wakosoe kwanza hao kabla ya kuja kwetu huku
 
Hebu nendeni msibani huko Kisesa. Watu mmefiwa na Kiongozi wenu bado mmeshupaa na George Washngton kukashifiwa.
 
Hivi ile kesi ya LEMA Kuwa WAZIRI MKUU NI MUONGO ILIISHIA WAPI VILE !!!!!!! Dada yangu huna haja ya kumsafisha mwenzio kwa mikono Michafu Oga kwanza!,Kumbuka Mawaziri wengi wa Chama Chako ni Waongo Kweli kweli Wakosoe kwanza hao kabla ya kuja kwetu huku

Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete

Halafu mpaka leo bado hujaelewa hilo alikuwa anaambiwa nani?
 
Leticia alipata ubunge kutokana na "kujuana" kwake na Mbowe...

Vick Kamata alipata ubunge kwa kujuana na ..................., Hadi Mjomba wake kampigia debe kapata ukuu wa Mkoa kutokana na.............

Jaza mwenyewe.
 
Very confusing indeed. Wewe tatizo lako nini? Kwamba Nyerere kama baba wa Taifa aendelee kudhihakiwa au aenziwe kwa yale mema yake? Na sisi wengine hatukumsikiliza Laetiticia Nyerere. Sasa what is the context that has led her to say what she has said. Hapo ndipo tuangalie ukweli wa kile alichosema. Na yeye ameishi Amerika na si lazima aanze kuchimba vitu ambavyo ni destructive and irrelevant au mind poisoning. Yeye kwake George Washington is to Americans what Nyerere is to Tanzanians. Kama msimamo wake uko hivyo why waste time digging issues that do no match her belief.

Halafu jina ni jina tu. Na yeye ndiye mwenye utashi wa kulitumia. Kwanini alazimishwe kuliacha? Unataka atumie lipi? Kwa faida ya nani? Kama ambavyo huwezi kumchagulia jina usimchagulie mkwe wake

Tatizo langu ni kwanini muwe waongo? na kwanini mtetee uongo?

Mnawatuma wabunge wenu kwenda kudangaya pale bungeni? Hamna haya?
 
kwani kila anachosema ni sahihi? Wewe hukubaliani nami kuwa CCM haina uzalendo na nchi hii?

Samahani mkuu, mimi na masuala ya vyama ni vitu 2 tofauti kabisa. Kwenye uzi huu inasemwa waTanzania na siyo chama fulani. Naomba unisamehe kwa hilo mkuu.
 
Tatizo langu ni kwanini muwe waongo? na kwanini mtetee uongo?

Mnawatuma wabunge wenu kwenda kudangaya pale bungeni? Hamna haya?

Wewe ni mgeni na uongo?? Mbona Kikwete ameshawahi kudanganya Watanzania kwamba ataleta maisha bora kwa kila Mtanzania? au hukumbuki Pinda alivyolidanganya Bunge? usishtuke sana bana!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom