Wewe umeona yeye hajaona........
Leticia alipata ubunge kutokana na "kujuana" kwake na Mbowe...
Leticia alipata ubunge kutokana na "kujuana" kwake na Mbowe...
Mtajuaje kama jina kuwa jina Nyerere linamhusu? Anajikombakomba ionekane jina linamhusu.Who is Leticia?
Yes...Faizafoxy kwa itikadi yake kali ya kidini na kwa saabu Nyerere ni Mkristo ni sawa tu akidhihakiwa. Kudhihaki ni kutukana na kutukana ni dhambi.
Amekaa USA hakuona George Washington akidhihakiwa.
"HAKUONA". Unataka kumlazimisha?
Huyu dada ana undugu na jasonbourne?
Jaamni huyu mama anaejiita Leticia Nyerere, ni bado mke wa mtoto wa Nyerere?
Uongo anaousema ni huu, kuwa na kukaa kwake Merekani hajawahi kuona "Baba wa Taifa la Merekani George Washington" akidhihakiwa;
Dah! huo ni uongo wa wazi wazi, machache haya hapa ya kudhihakiwa George Washington:
Leticia, kuna tons and tons za dhihaka kwa George Washington. Unalidanganya bunge na Watanzania kwa ujumla kwani tunakuona live, kwa kuwa eti umekaa USA.
Wewe inaonesha ulikuwa unakaa USA lakini huijui USA au unaona Watanzania tu wajinga kias cha kutudangaya?
Inaonesha u mfinyu sana wa mawazo.
Wakwanza wewe unalidhihaki jina la Nyerere kwani umeshaachika na bado unalitumia kama una hati miliki nalo.
sasa hii itajenga barabara? au hospital? wewe ajuza jaribu kukua
USA alikuwa anabeba maboksi analikuwa na muda wa kuona?Amekaa USA hakuona George Washington akidhihakiwa.
"HAKUONA". Unataka kumlazimisha?
Kwa nini Winnie aliachika,ila hadi leo anaitwa Winnie Mandela?