Ukiwa kiongozi TZ,unapata raha sana,maana sisi niwepesi wa kusahau kama nyumbu vile,azikwe Butiama kama nani?hata kama hatuna akili kabisa juzi tu,mabunge ya ccm yalikuwa yanamzomea marehem kuwa aache kutumia jina la mwl,kwani yeye siyo mwanafamilia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.