Leteni HOJA siyo kutuchanganya na ufundi wa kuongea!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leteni HOJA siyo kutuchanganya na ufundi wa kuongea!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muafaka, Sep 26, 2010.

 1. m

  muafaka Senior Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Matatizo ya umasikini wetu ni WORLD ORDER wala si hayo mnayotuimbia kila siku. Tunataka mwenye kutuongoza alijue hilo, mtatoana ngeu bure!. Ningependa kusikia mwanasiasa anaye chambua matatizo yetu kwa kutambua kuwa we are part of the WORLD SYSTEM. The world order is strategically changed by those who can manipulate it. The manipulation aims to suppress those who can keep banging one another cause they don't have time to think BIG for themselves.

  Ningefurahi sana nyie wanasiasa mkituambia mipango yenu kwa kuangalia the BIG PICTURE, huu utaratibu wa kunyofoa eneo moja kushawishi wananchi bila kuainisha kuwa whatever problem you are trying to address is part of the bigger problem (UMASIKINI) na kwamba by depleting resources from one side to solve the other side you still keep the problem intact (UMASIKINI).

  Wanasiasa tuambieni matatizo yetu mtaya solve vipi in a long run na kwamba short term problem solution should not hinder long term strategies na pia tuambieni HOW FEASIBLE AND SUSTAINABLE are your solutions!!?, siyo kutwambia tutatoa elimu bure, tutatoa matrekta bure. All these things comes at a price in one way or another.
   
 2. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Interesting topic.
  Before contributing to it, i like to ask you these questions. Are we real poor? What kind of poverty we have? Are we living in different world with countries like Malaysia, Singapore, Brasil, Chile, Rwanda, Angola, Nigeria and so on? Does real our problems (if any) caused by the world order?
   
 3. m

  muafaka Senior Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  If you know what world system means you would not ask me about individual countries. Each country has a unique interface to the world system, whether economically, politically etc. So there won't be any logical comparison between TZ and those countries. Now contribute to the topic not forgetting that we are part of the world system. Thanks
   
 4. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  We pretend to be but we are not poor.
   
 5. m

  muafaka Senior Member

  #5
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Justify you argument. Unajua sisi ni wazuri sana kusema na kupanga bila ku incorporate the real world. The real world most often turns out to be quite different from our plans. We have to think and speak REALLY. This is no time for banging one another we are wasting valuable time ahead of us don't you think Mundali??
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Sasa sisi tanzania tunakosa nini kwenye hiyo world system mpaka tuwe maskini kuliko nchi hizo zilizotajwa hapo juu? Na kama tatizo ni world system, unashauri nini sasa? Au unataka tukubali tu, tukae na kulea mikono? Yaani matatizo yetu YOTE yanatokana na world system? Acha kutudanganya bwana. Mengi tumejitakia wenyewe.
   
 7. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nadhani tunasahau tatizo letu la msingi na kukimbilia hoja ambayo ni upotoshaji uliovuka mipaka. Yawezekana tumeshindwa kuona tatizo, ama hatulijui tatizo. Tuna tatizo "UJINGA", ndugu zangu hapa mnielewe vizuri. Matatizo yoooote ya nchi yetu yanaletwa na huyu mdudu. Hatuna tatizo la umasikini wala maradhi. Ujinga umezaa umasikini, maradhi na kukosa mwelekeo (uongozi). Nadhani mtakubaliana nami kwamba Kondoo huzaa kondoo, haiwezekani zao la mwembe likawa machungwa. Vivyo hivyo zao la ujinga ni ujinga zaidi ambao utatengeneza umasikini na maradhi. Hatuna majanga wala mabalaa, bado hatuwezi. Hivi nchi hii ingekuwa na majanga kama Bangladesh ingekuwa vipi?
  The only solution to our problems is to educate our people. Na elimu ninayomaanisha si ya shule za kata ama bure na kadhalika, bali ni elimu ya kumfanya mwananchi awe mbunifu, aweze kukabiliana na maisha yake. Tubadili mtaala wa elimu yetu, badala ya kumfanya kijana asomee kupata ajira, tumpe elimu ya uzalendo, ubunifu na uboreshaji wa maisha yake.
   
 8. Bally B

  Bally B Senior Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 11, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Those problems cannot be resolved by one person its your time to think kwa sababu umeshaambiwa kabisa ni nini chanzo cha umaskini katika nchi hii,
  1.Uongozi mbovu
  2.Misamaha ya kodi isiyo kuwa na maana yoyote
  3.Kodi kubwa kwa wananchi ambao ndiyo chanzo kikubwa cha maendeleo katika inchi naamini maendeleo ya inchi nyingi huletwa hutokana na kodi za wananchi kutumiwa ipasavyo,
  4.I believe if the government woul'd be providing loans kwa wananchi wakafungua biashara na kuanzisha Saccos inaweza kuwa ni chanzo kizuri kuweza kupunguza umaskini katika inchi hii,We shouldn't look and comparing with other Countries we need to look we as Tanzania in how to increase our income in every resources sectors,mimi na wewe tusikae tu kutegemea mtu mmoja kuleta mafanikio katika inchi yetu.
   
 9. m

  muafaka Senior Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  My friend now you bringing the issues. Nadhani mijadala yetu ingekuwa na mwelekeo huo watawala wangeweza kupata mahala pa kukimbilia kupata mawazo ya kuendesha nchi JF.
   
 10. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  You are heating the point, but end of the day you should discover that we are running in the same track. The major problem of our country is Ignorance, i insist.
  1. Uongozi mbovu. Ujinga hapa ndipo kitovu chake, viongozi ni zao la wanajamii. Kiongozi bora hutoka katika jamii bora na kiongozi mbovu hutoka katika jamii mbovu. Mfano hai tunao leo, miongoni mwetu wapo waliojitokeza kuomba ridhaa ya kutuongoza, lakini je wanajua wanategemea kuongoza watu wa aina gani, kwenye mazingira gani, na kwa namna gani? Sitashangaa kwa ujinga huohuo ninaouongelea tukachagua viongozi mbumbumbu, waongoze wajinga. Nadhani utakumbuka kiongozi mmoja mkubwa tu aliwahi kukiri kwamba hatui ni kwanini watanzania ni masikini. Kiongozi kama huyo hana tofauti na kipofu amwongozaye kipofu mwenzie.
  2. Misamha ya kodi, pia ni zao la ujinga.
  3. Rushwa iliyokithiri pia ni zao la ujinga.
  Mpaka pale tutakapo pata ufahamu kidogo na kujua viongozi wanawajibika kwetu na tuna haki na wajibu wa kuwawajibisha, mpaka pale tutakapojua mama Tanzania ni zaidi ya vyama, mpaka pale tutakapotambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe!
  Kwa wakati huu ni pole tu!
   
 11. m

  muafaka Senior Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Are you Ignorant???. The reason I am asking this is because it may be unfair to rate the entire nation Ignorant, I think by now we have as a country bright minds who can do wonders. But remember we are not alone in this race, it is the race of all. probably those with more resources are the ones with good chance to prosper, probably those who have close ties with the giants admiting a little loss have a better chance to prosper etc. This is exactly the major theme of the topic. Your ideas are highly appreciated friends
   
 12. O

  Ogah JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  we know hivyo vitu vina impact kwenye uchumi wetu..............BUT for how long wananchi should wait kula matunda ya natural resources zao..........

  Hivi ku-deal na MAFISADI tunahitaji another 50 years? au MAFISADI ndio hizo World Order/System zimewaleta?
  Hivi MIKATABA MIBOVU ni matokeo ya World Order/System?...............

  .............Kutoa elimu bure/ kuwawezesha wakulima na pembejeo ni mambo yanayowezekana sana kuingia mawazoni mwako kama ungekuwa mfuatiliaji wa WIZI unaofanyika hapa Tanzania.................

  Mkuu Mundali asante sana kwa kuuelezea UJINGA wetu...........tuwaelimisha wananchi kuwa huuni wakati wa mabadiliko..................
   
 13. m

  muafaka Senior Member

  #13
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ogah! naelewa kuwa hayo ni baadhi ya matatizo makubwa tuliyonayo kama nchi, lakini ukifanya tafakari ya ndani kabisa utajua kuwa UFISADI ni more serious than most can think. It is the mental state of most people right now kwa kuwa root cause yake ni UBINAFSI WA KUPINDUKIA. huenda 90%+ ya watanzania tupo na UBINAFSI wa kupindukia na POTENTIALLY, given a good chance we are not any different from those condemned now kuwa ni mafisadi. Angalia katika maisha ya kila siku dalili za ubinafsi ninaouzungumzia, kwenye FOLENI ZA magari, katika traffic lights, kwenye foleni za huduma kama vile hospitali, majirani huko tunakoishi hizo zote ni dalili za UBINAFSI uliopindukia. Anyone anaeweka ubinafsi katika maeneo ya kawaida ya kijamii given a leadership role will officially be identified as FISADI.

  Tatizo hilo kwa mtizamo wangu haliwezi kwisha kwa njia moja pekee, tunatakiwa kukiokoa kizazi kichanga. YOU ARE PROBABLY GONA JAIL most of the people given a leadership role.
   
 14. O

  Ogah JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Well, i see you are mixing up things kuhusu UTAWALA WA SHERIA (at operational stage/level), UFISADI ambao watu intentionally wameamua ku-loot out our uchumi kwa faida za kikundi fulani cha utawala..............na SERA...............hii ni discussion ndefu kidogo............however............Oh YES given a mandate/leadership role nitasimamia UTAWALA wa sheria KIKAMILIFU and those who deserve to be in JAIL (hata akiwa mtoto wangu mwenyewe) will go to JAIL.............
   
 15. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Thank guys, i can see the discussion is fantastic. We have a great roll to do my dear friends. People feel no pain of ufisadi. Is just like somebody's money stollen but not your money. We have to wake them up, especialy CCM members and funs.
  People are not in a position to associate wizi huu mkubwa na umaskini uliokithiri. Now wake up every one without fear, tell people about their rights. For us who know this issue very well we have to educate people who surround us at least 10 @. Changes is important.
   
Loading...