Leteni basi mambo ya bungeni

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
nilikuwa naangalia bunge asubuhi hii tundu lissu akiomba muongozo, ilikuwa vema sana hasa kuhusu sheria zalivyokuwa zinadadavuliwa. mi ni mvivu wa kuandika kwa hiyo wale wataalam wa thread ndefu na za kitaalam anzisheni basi ili tujadili
 
Back
Top Bottom