Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

kaka si wadada wa kazi pekee wanaoweza kukuroga yani kiufupi sisi wanaume ukishapata kazi na kubadili mfumo wa maisha yako kuna watu wanakuja kwenye maisha yaki hutarajii na mostly of tyme unajikuta unamuwaza kuhusu yeye mpka unajiuliza umepatwa na nni. Inafika hatuwa kanajileta unapiga then ndo unalowea alfu ukimlinganisha na uliye naye hawafanani

Kabisa ni shidaa! Wanaume tuna tabu sana yaani tumuombe sana Mungu.
 
Uahirikina ni imani kama imani nyingine. Ushirikina ama uchawi haupo.
punguza uchawi nyie kawaida yenu huwaga wanafiki sana...humpati mtu hapa.
Mtume paulo alirogwa na Bar yesu wee nani usirogwe......
Kweeeendraaaa tunawajuaga kirahisi tu km hivi
...
 
Back
Top Bottom