Let us face it:Kuwang'oa CCM ni baada ya miaka mingine 50!

hojapreneur

Member
Nov 12, 2010
19
0
Ndivyo historia inavyoonyesha,kwamba kwingineko kote palipotokea mabadiliko ya utawala,hawakwenda zaidi ya miaka 50...Ghana,Kenya,Zambia,Malawi...you name it!Nafasi tumeipoteza 2010,sasa tusubiri 2060!

:israel:BOTTOMLINE:THERE'S NO PARDON FOR THOSE WHO REJECT SALVATION!!!
 
walisha shindwa! ila wametumia nguvu. cha msingi mabadiliko yalishatokea kwenye akili za watanzania, hivyo kukaa kwa ccm madarakani kunategemea usanii wa ccm na serikali yake pamoja na uvumilivu wa watanzania. usitegemee kuwa ccm itakuwa inashinda kihalali toka uchaguzi huu ulio pita hata wamchague nani, thats it
 
Back
Top Bottom