"Let My People Go" Kikwete na Pinda Wananchi Hawawataki na Hatukuwachagua.

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kuna haya maneno yenye nguvu "Let My People Go" Tumeteseka vya Kutosha na sasa maombi yamefika. Ujumbe ndio huu Kikwete "Hatukuwachagua" Tunataka kujenga Taifa letu na umekuwa kipingamizi mkubwa. Kikwete na Pinda, let Tanzanians Rebuild Their Lives. Mwisho wenu umefikia hapa, tumenyamaza vya kutosha na kutishiwa vya kutosha. Kila kitu kina mwisho wake na ccm ni huu

Wale Walio "Legitimize" Uraisi wa Kikwete ndio Wanaowatesa Watanzania.
Mwizi ni Mwizi​
 
JK kapitishwa na NEC.
Pinda kapita bila 'kupingwa'
Nadhani wote hawana uhalali wa kuongoza, labda 'kutawala'
 
Back
Top Bottom