Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Sina sababu ya kubishana na wewe.Mkuu science ni fani,wewe obviously sio scientist,nyamaza usionekana mjinga.
hata lab ya kutengeneza Panadol huna afu unasema chanjo inatengenezwa ni ya kufuta DNA ya mwafrica, nani kamwambia duniani hapa mwafrica ni threat? kama kukuua wangekuua kwenye chanjo za Ndui, Polio na Pepopunda na Kifaduro ile miaka ya 70
 
Uko very ignorant,sina haja ya kubishana na wewe. Ni bora ukanyamaza tu mkuu, unazidi ku-expose your ignorance.

Na kweli wewe ni FUSO, maana you are just being driven, you cannot think.
 
Mkuu mimi sio mzembe,I am a very successful person kwenye nyanja yeyote you can think of,ila ni mdadisi sana na sio mvivu wa kufikiri.Ninayoandika nimeyafanyia extensive research,and I know it's real and authentic.Inaelekea wewe ni mvivu wa kufikiri,na either ni mjinga sana au mabeberu wamekununua,kwa hiyo you are part of "the state capture system," na hapa uko kwenye ajira yako ya kupumbaza watu!Inachefua na kukasirisha sana kuona kwamba kuna idiots kama ninyi,tena wenzetu,get out of your idiocy and betrayal.You are in fact a traitor.

Tatizo lako you are too emotinal..na huwezi kuvumilia hoja za wenye mtazamo tofauti na wako....binadamu lazima tutofautiae...si unaona hata kwenye dini zetu..tunaambiwa kuna dhambi na mwisho wa siku kuna moto wa jehanamu..pamoja na ushahidi wa kila namna unaotolewa ku support hayo bado kuna watu wanapinga...lakini tunavumiliana na kuishi nao.

kuna watu kama wewe wanaoamini juu ya "conspiracy theories" na kuna watu kama Pythagoras and the likes hawaamini katika hilo...Lako ilikuwa kufikisha ujumbe (umefikisha), basi waachie wengine wa digest na kufanya maamuzi, stop name calling and insults brother!
 
Mkuu mimi sio mzembe,I am a very successful person kwenye nyanja yeyote you can think of,ila ni mdadisi sana na sio mvivu wa kufikiri.Ninayoandika nimeyafanyia extensive research,and I know it's real and authentic.Inaelekea wewe ni mvivu wa kufikiri,na either ni mjinga sana au mabeberu wamekununua,kwa hiyo you are part of "the state capture system," na hapa uko kwenye ajira yako ya kupumbaza watu!Inachefua na kukasirisha sana kuona kwamba kuna idiots kama ninyi,tena wenzetu,get out of your idiocy and betrayal.You are in fact a traitor.
Tatizo lako you are too emotinal..na huwezi kuvumilia hoja za wenye mtazamo tofauti na wako.

binadamu lazima tutofautiae...si unaona hata kwenye dini zetu..tunaambiwa kuna dhambi na mwisho wa siku kuna moto wa jehanamu..pamoja na ushahidi wa kila namna unaotolewa ku support hayo bado kuna watu wanapinga...lakini tunavumiliana na kuishi nao.

kuna watu kama wewe wanaoamini juu ya "conspiracy theories" na kuna watu kama Pythagoras and the likes hawaamini katika hilo...Lako ilikuwa kufikisha ujumbe (umefikisha), basi waachie wengine wa digest na kufanya maamuzi......stop name calling and insults brother!
 
Hivi na wewe unaamini ujinga kwamba kuna C-19.Wanachukua data za magonjwa yote,wana-compile halafu wanaita C-19 mnawaamini,dah!Kweli wajinga ndio waliwao.Hakuna kitu kitu kinachoitwa C-19.Ni utapeli!
Mkuu umeandika mengi...kuna niliyokubaliana nawe na kuna ambayo sijakubalina nawe hiyo ni kawaida...lakini katika yote ki ukweli ..kama ni ugonjwa natural au wa maabara lazima tukubaline Covid-19 is real na ipo.

Mzee Magufuli mwenyewe pamoja na uongozi wake mzuri katika kupambana na hili gonjwa hajawahi kukana kama haupo.

mara ya mwisho nimeona watu kwenye twitter waki nakuu kauli yake kuwa ..."Tanzania Corona ipo lakini si kwa kiasi kikubwa..na katushauri tuendelee kujifukiza huku tukifanya kazi kwa bidiii....Covid-19 is real....
 
Tatizo lako you are too emotinal..na huwezi kuvumilia hoja za wenye mtazamo tofauti na wako....binadamu lazima tutofautiae...si unaona hata kwenye dini zetu..tunaambiwa kuna dhambi na mwisho wa siku kuna moto wa jehanamu..pamoja na ushahidi wa kila namna unaotolewa ku support hayo bado kuna watu wanapinga...lakini tunavumiliana na kuishi nao....kuna watu kama wewe wanaoamini juu ya "conspiracy theories" na kuna watu kama Pythagoras and the likes hawaamini katika hilo...Lako ilikuwa kufikisha ujumbe (umefikisha), basi waachie wengine wa digest na kufanya maamuzi......stop name calling and insults brother!
Mkuu usichanganye politics na science. Hapa issue ni facts ambazo ni scientific. Unapo discuss hoja ambazo ni scientific bring scientific facts.

Ukileta ubishi tu ambayo hauna scientific background yeyote, hueleweki na ni lazima utaonekana out of place. Pinga science facts by science facts.
 
Pythagoras do you really believe in what you have written?Hivi kweli niamini kwamba huijui agenda ya vaccines.Hivi kweli niamini kwamba hujui watoto wachanga wanavyofia matumboni mwa mama zao hata kabla ya kuzaliwa na hata baada ya kuzaliwa?Hivi niamini kwamba hujui akina mama wanavyoteseka na mauvimbe matumboni na cancers mbali mbali?Hivi kweli huoni watoto wetu walivyoharibika na wasivyo eleweka kabisa?Je, umeshajiuliza kwa nini?Kama hujawahi kujiuliza wewe ni zuzu,nyamaza usi-mislead wenzio.Pythagoras,it seems you are a loon,retard or you have a vested interest in vaccines,sisi wengine hatuna,kwa hiyo tutapiga vita vaccines kwa nguvu zetu zote, kwa kuwa ni hatari na hazifai kabisa kwa maisha na matumizi kwa wanadamu, hasa hii inayokuja ambayo ni mRNA vaccine.Ni ajabu kwamba unafumba macho hata huoni athari ambazo zineshawekwa wazi.

Nirudie wewe ni zuzu,loon,retard au una vested interest in vaccines.

Finally nikuambie wazi, mimi sichanji watoto wangu na wako vizuri kweli kweli.Wa kwanza amemaliza MSc.Degree na wadogo zake wana either also MSc degrees or BScs, na wa mwisho yuko Form VI na hawajawahi kupata any problem. Mine is a good example of the uselessness of vaccines!Mtu anayetaka kujifunza,kama kweli yuko serious aje kwangu.Vaccines ni utapeli wa Wazungu.
Na sisi watoto zetu walipiga chanjo na wako vizuri kweli wengine ndio wanatuhudumia kwa kila kitu hivi sasa.

Nimesahau siku hizi kuna usemi watoto wa siku hizi vinaakili sana vinashika mambo sisi hatukuwa hivyo labda hizo chanjo zimewasaidia kuwa smart zaidi kuliko kizazi cha zamani.
 
Mkuu umeandika mengi...kuna niliyokubaliana nawe na kuna ambayo sijakubalina nawe hiyo ni kawaida...lakini katika yote ki ukweli ..kama ni ugonjwa natural au wa maabara lazima tukubaline Covid-19 is real na ipo...Mzee Magufuli mwenyewe pamoja na uongozi wake mzuri katika kupambana na hili gonjwa...hajawahi kukana kama haupo....mara ya mwisho nimeona watu kwenye twitter waki nakuu kauli yake kuwa ..."Tanzania Corona ipo lakini si kwa kiasi kikubwa..na katushauri tuendelee kujifukiza huku tukifanya kazi kwa bidiii....Covid-19 is real....
Mkuu ni hivii,tusibishane. Ila utabaki ukweli kwamba the World Association of Doctors, madaktari wa Ujerumani na the Netherlands wamesema C-19 is a hoax.

CDC nao wamekiri hivyo na so many other Doctors. Worse still C-19 does not adhere to Kock's Postulates, ambacho ndicho kipimo cha any pathogenic disease.

Mbaya zaidi the pathogen causing the so called C-19 disease has never been isolated, ni blaa blaa tu zinazotembea hapa. Huu ni ugonjwa ambao ni invented by the Western establishment and hyped by the mainstream media,it is non existent.

I am talking science here, sio hewa.
 
Yes,they are fully responsible for our failures.Systems walizoacha zote without exception, after colonialism,tena kwa makusudi,zina an evil agenda na ni recipe for conflict, economic sabotage and cultural destruction. Sina haja ya ku-mention systems hizo na details,lakini itoshe tu kusema kwamba the health, education,and economic systems ndio the worst culprits.Kwa bahati mbaya the mainstream media which they control 100%,imefanya mambo kuwa even worse,hasa katika kuharibu mindset ya watu wetu kwa makusudi,tena by instructions.Kama mtu haoni haya ni myopic, na anahitaji msaada.
Haya mawazo ya dhana viongozi kushindwa kusingizia wazungu, nimeamini chanjo hukupata ndio maana.
 
Na sisi watoto zetu walipiga chanjo na wako vizuri kweli wengine ndio wanatuhudumia kwa kila kitu hivi sasa. Nimesahau siku hizi kuna usemi watoto wa siku hizi vinaakili sana vinashika mambo sisi hatukuwa hivyo labda hizo chanjo zimewasaidia kuwa smart zaidi kuliko kizazi cha zamani.
Wazazi wrote wanalalamika kuhusu watoto wa Sikh hizi wasivyo sikia wewe unasems wako vizuri ajabu. Hata waalimu wanakiri watoto hawafundishiki!
 
Mkuu ni hivii,tusibishane.Ila utabaki ukweli kwamba the World Association of Doctors, madaktari wa Ujerumani na the Netherlands wamesema C-19 is a hoax.CDC nao wamekiri hivyo na so many other Doctors.Worse still C-19 does not adhere to Kock's Postulates, ambacho ndicho kipimo cha any pathogenic disease.Mbaya zaidi the pathogen causing the so called C-19 disease has never been isolated,ni blaa blaa tu zinazotembea hapa.Huu ni ugonjwa ambao ni invented by the Western establishment and hyped by the mainstream media,it is non existent.I am talking science here,sio hewa.
Ok...ngoja tukubaliane kuwa Covid-19 is a hoax...sasa swali la msingi hapa ni uginjwa gani uliouwa watu..na unaoendelea kuua watu kwa makundi...na umepewa jina la none eisting hoax pathogen "the Covid-19"?
 
Mkuu usichanganye politics na science.Hapa issue ni facts ambazo ni scientific.Unapo discuss hoja ambazo ni scientific bring scientific facts.Ukileta ubishi tu ambayo hauna scientific background yeyote, hueleweki na ni lazima utaonekana out of place.Pinga science facts by science facts.
Kaka sijachanganya mambo..nimejaribu kuelewa hoja zako na za wale wanaokupinga....umesema kuna scientifi proof kwa chanjo ile ni mbaya..huenda ni kweli maana hata mimi nimesikia na kusoma haya.

lakini pia hatuwezi kukataa ukweli kuwa hatulazimishwi kuzitumia...mtu atatumia chanjo kutokana na imani yake juu ya hiyo chanjo..wewe ulikataaa kuzitumia huko nyuma

kwa kuwa hukuziamini and it worked! Pythogoras alizitumia na anaamini zimemsaidia... hapo ndio msingi wa hoja yangu....kuwa wewe umeisha sema (you are kind of an eye opener) so let other to digest the facts and excrete the fakes!
 
Wazazi wrote wanalalamika kuhusu watoto wa Sikh hizi wasivyo sikia wewe unasems wako vizuri ajabu.Hata waalimu wanakiri watoto hawafundishiki!
Watoto ni malezi yako nyumbani wakitoka nje wakikosa adabu wana reflect wewe kama mzazi.

Mimi naongea kama mimi watoto wangu adabu nyumbani mpaka huko nje suala la kuwa smart ni jingine lakini watoto wa siku hizi wanauelewa mkubwa wa mambo na hii imechangiwa na Tech access ya info ni kubwa kuliko zamani.

Ila naamini katika chanjo za watoto zamani kulikuwa na vifo vingi vya watoto kama magonjwa ya kuharisha tu lakini kwa DATA za UN vifo vya watoto vimeshuka sana tena sana kwa magonjwa yanaweza kutibika. sasa kupinga ni lazima uje na Data kuwa pamoja na chanjo za watoto ndio kwanza vifo vimeongezeka sana. lete Data. Kutopiga chanjo na watoto ku survive sio hoja wako wengi wali survive na wengi walipata shida utotoni.

Chanjo za watoto muhimu sana na hizi dhana hata watoto walivyoanza chanjo kuna watu walipinga hawataki tuzae lakini ukweli wanazaa mpaka wanatumia vidonge vya uzazi.
 
Kwa kuvaa magome ya miti?

Mkuu acha kujifariji ,wazungu tuwape credit wametuzidi.,hata dini hii tubayoabudu pia wameleta wao huwezi kuwaepuka.
Watake kutuua mara ngapi,mbona tayari wanatua?Jamani.Halafu kwa mtu anayejitambua, material goods sio kitu cha msingi sana.Na hivii, hujui kwamba hivyo vitu yvao ambavyo kwa ujinga tulio nao tunaviita maendeleo, ndivyo vinavyotuua?Wake up brother umelala usingizi wa pono,tungekuwa bora zaidi bila vitu vyao.
 
Wazazi wrote wanalalamika kuhusu watoto wa Sikh hizi wasivyo sikia wewe unasems wako vizuri ajabu.Hata waalimu wanakiri watoto hawafundishiki!
...mmmmh watoto hawafundishiki...mwalimu ni form four failure..unategemea kuwa ataweza kuwafundisha hao watoto..mbona watoto wanaosoma kwenye shule walizowekeza kwa walimu....tumeona na kusikia walichokifanya hapa juzi tu!...mzazi kutwa yuko busy ..hapati muda wa kushughulika japo kidogo kujua watoto wamesoma nini, wanaambatana na makundi yapi (yaani nani rafiki zake)..anategemea huyo mtoto atasikia kweli? lugha ya mzazi mbele ya mtoto haina stara/staha..anategema lugha ya mtoto itakuwaje...mtoto in a way ni protegee ya mzazi...! And this has nothing to do with vaccine!
 
Wazazi wrote wanalalamika kuhusu watoto wa Sikh hizi wasivyo sikia wewe unasems wako vizuri ajabu.Hata waalimu wanakiri watoto hawafundishiki!
New study by the UN Inter-agency Group for Child Mortality Estimation released on 18 September 2018 reveals that the world has made considerable progress in reducing child mortality since 1990. The under-five morality rate has declined by 58 per cent since 1990, and the number of under-five deaths dropped from 12.6 million in 1990 to 5.4 million in 2017.

Key findings:

  • The remarkable progress in improving child survival since 1990.
  • In 2017, 5.5 million children under five years old died (15,000 every day) compared to 12.6 million in 1990 (34,000 every day)
  • Globally, under five mortality rate dropped to 39 deaths per 1,000 live births in 2017 from 93 in 1990 – a 58 per cent decline.
  • The mortality among children aged 5-14 declined by 52 per cent from 1.7 million to 0.9 million.
  • The majority of child and young adolescent deaths occurred during the earliest ages with 85 per cent of the 6.3 million deaths in 2017 occurring in the first five years of life.
  • Most children under five died from preventable or treatable causes like complications during birth, pneumonia, diarrhoea, neonatal sepsis and malar
 
Mkuu you are quoting a UN report,hawa ni collaborators wa ujinga unaoendelea duniani including C-19,Climate Change,Wars etc.etc. !Hii inaonyesha jinsi usivyojua how the World really operates and therefore what these International Organizations are all about na ndio maana Trump alizipiga vita sana.These organizations are not for you and me,they are for the evil agenda of the NWO.Usiamini whatever you are told or hear from the mainstream media brother,do a bit of your own reasearch.Ni mjinga tu anayeamini kila analosikia na kuambiwa.
 
kwa hiyo tuache chano zote - za polio, kifua kikuu, surua nk ambazo tumekuwa tukitumia tangu zamani?
 
Kwa kuvaa magome ya miti?

Mkuu acha kujifariji ,wazungu tuwape credit wametuzidi.,hata dini hii tubayoabudu pia wameleta wao huwezi kuwaepuka.
Mkuu kiukweli siwezi kuwapa Wazungu credit, for what,kila kitu walicholeta kime-prove kuwa a tool for genocide, enslavement and domination.Sasa nimshukuru mtu kwa kuniua,kunifanya mtumwa nà kunitawala,nitakuwa mjinga sana mkuu,haiwezekani.

Halafu watu wengi wanachanganya sana,Ukristo haukutokana na Wazungu,na wao wame-pelekewa tu.Ukristo umetokana na Waebrania au Waisraeli.
...mmmmh watoto hawafundishiki...mwalimu ni form four failure..unategemea kuwa ataweza kuwafundisha hao watoto..mbona watoto wanaosoma kwenye shule walizowekeza kwa walimu....tumeona na kusikia walichokifanya hapa juzi tu!...mzazi kutwa yuko busy ..hapati muda wa kushughulika japo kidogo kujua watoto wamesoma nini, wanaambatana na makundi yapi (yaani nani rafiki zake)..anategemea huyo mtoto atasikia kweli? lugha ya mzazi mbele ya mtoto haina stara/staha..anategema lugha ya mtoto itakuwaje...mtoto in a way ni protegee ya mzazi...! And this has nothing to do with vaccine!
Hivi seriously watoto wako vizuri kweli!Mbona mnakataa vitu vya wazii...!Na kama sisi wenyewe tuko vizuri kwa nini tuajiri mwalimu Form IV failure.Na sio kutokufundishika tu,watoto wana àll unimaginable evils.Wazazi wengine literally wamenyanyua mikono.Taarifa ziko nyingi kuhusu ubaya wa vaccines mkuu hatuna haja ya kubishana hapa.
 
Mkuu kiukweli siwezi kuwapa Wazungu credit, for what,kila kitu walicholeta kime-prove kuwa a tool for genocide, enslavement and domination.Sasa nimshukuru mtu kwa kuniua,kunifanya mtumwa nà kunitawala,nitakuwa mjinga sana mkuu,haiwezekani.

Hivi seriously watoto wako vizuri kweli!Mbona mnakataa vitu vya wazii...!Na kama sisi wenyewe tuko vizuri kwa nini tuajiri mwalimu Form IV failure.Na sio kutokufundishika tu,watoto wana àll unimaginable evils.Wazazi wengine literally wamenyanyua mikono.Taarifa ziko nyingi kuhusu ubaya wa vaccines mkuu hatuna haja ya kubishana hapa.
..Mkuu ngoja nikubali kuwa sikubaliani na wewe juu ya huu uhusiano wa "kutofundishika watoto" "kutokuwa na maadili kwa watoto" na "Vaccine"...mimi nasimamia hapo tu....Vaccine has nothing to do with children upbringing or their intelligence at school....
 
Back
Top Bottom