MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Hivi huyu (nyamayao) mdada yuko wapi siku hizi maana kusema ukweli kuna kitu kikubwa sana nilichojifunza kwake hasa kuhusu nafasi ya mtu katika mahusiano.
Tangu nimsome nyamayao, mabandiko yote ninayoyasoma ninapata ujumbe unaofanana toka kwake..... kuwa Kila mtu yuko responsible na maumivu ya mapenzi anayoyaexperience kwenye mahusiano yake mf. the plight ya cheating, kuwa mkeo/mumeo akicheat ukajua ni haki yako ku'charuka' kuwa mkali na kudemand explanations/apology n.k. na kuwa siku ukimkuta mwenzi wako anacheat una haki ya kuanzisha varangati na yeye anastahili kuwa calm na kukiri kosa (kama kweli amecheat). Hapa nazungumzia mambo ya nyamayao kakukuta unacheat, .........ni mkeo ana haki ya kufanya chochote na wewe unastahili kuwa mpole tu kwani umemkosea na ana haki ya kuumia na kuexercise hacra zake kwa namna aipendayo nawe hupaswi kumblame/ wala kuwa mkali back.
So kwa mtizamo wa nyamayao ni kuwa, wewe kama mwanaume/mke ukiruhusu kuonewa kwa kuwa tu unataka kuwe na amani nyumbani, kwa kuwa unataka kuonekana mpole kwenye mahusiano yako kiasi kwamba mwenzio anapokukosea wewe kimahusiano (mf. anapocheat ukafahamu, anapochelewa kurudi nyumbani ukasema niwe mpole, anaposhindwa kutimiza majukumu yake nisimfuatilie HUMSAIDII MWENZI WAKO sanasana unamuharibu na kuipoteza haki yako kwenye nahusiano. Kama mwanamke/mwanaume jua haki yako, jua nini unapaswa kudemand n.k.
The same message I learned from nyumba kubwa kuwa wanawake/ume wengi hawaijui position yao kwenye mahusiano " Kwenye ile thread iliyohusu ujumbe wa simu ambao ungeukuta kwenye simu ya mumeo......wakati tunasema wengine mie ningeupotezea, e.t.c. nyumba kubwa alikuwa mkali na kusema pasingetosha unless amepewa maelezo ya kina.
Nimejikuta ninajiuliza swali,
Hivi nimambo gani hasa kwenye maisha yako wewe mwenzi wako ambayo ana haki ya kuyasimamia kidole gumba na kudemand explanations from you? Issue ambayo yaani ukiuliza asipokupa jibu la kuridhisha au kutokukujibu kabisa unastahili kuwa 'mkali' (kuacha kubembeleza?')
aksanteni (Niokoeni mwenzenu, maana nahisi nimekuwa mpole sana mwe......)