Lesotho wakishinda Taifa Stars itasonga mbele?

Wewe senge tu.Ndio maana unajiita Wanjiru. Umesharudi kutoka Vatican ulipokuwa umewekwa kimada?Peleka harufu ya mharo huko.
 
Nimeangalia lakini nimeona imekaa kitaalamu mno, hebu nifafanulie nielewe. Maana nimeangalia nimeona kama sote tuna Poinnt tano tano. Maana hiyo wakishinda wote watakuwa na Pointi nane nane. Tatizo liko wapi?
Inapotokea timu kulingana points
1) Wapo wanaoangalia Uwiano wa Goli Za kufunga kulinganisha na za kufungwa (Goal Difference)

na
2) Wapo wanaoangalia Matokeo baina ya timu mbili hizo zilipokutana nyumbani na ugenini kwenye msimu huo (Head to Head).

CAF wanatumia mfumo #2 hapo, so since tuli draw nao kwetu then wakatufunga kwao means wao wanakua mbele yetu. Tukishinda wote leo hata kama tutashinda goli 100 still haitosaidia, maana H2H inawabeba wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom