Kilinzibar
Senior Member
- Mar 6, 2008
- 124
- 1
Nimekaa nikaona hii haijakaa sawa kabisa.....ivi serikali yetu hasa wenzetu wale wa usalama barabarani wamekaa tu hata kufikiria kubadili hivi vijikaratasi eti ndio leseni zetu za kuendeshea magari kuwa katika mfumo wa kisasa kama wa bank card au jata vitambulisho vya makazini....wadau hebu toeni maoni kuhusu ili hapa nilipo kijitabu changu choka mbaya nanilisha pigwa bao huko duniani kuwaonesha wazee wenyewe walichoka walijua nimechonga tu mwenyewe.
ila kweli hawa jamaa wa usalama wasijaze matumbo tu lazima vichwa vyao vifanye kazi angalau.
wadau mnasemaje hapa
ila kweli hawa jamaa wa usalama wasijaze matumbo tu lazima vichwa vyao vifanye kazi angalau.
wadau mnasemaje hapa