Leseni za wachimbaji wadogo wa madini hazitambuliki Babati

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
147
Waziri mwenye dhamana hii tunakuomba ufuatilie hili, kwa ujumla hali sio nzuri tunakuomba uingilie kati leseni zinazotolewa na serikali kupitia ofisi yako hazitambuliki hapa Babati.
 
Huu uzi una miaka miwili hapa jamvini,lakini suala langu linalohusu migodi ya kuchimba mchanga bado haijashughulikiwa
 
Jamani watanzania wenzangu naombeni ushauri maana naona kama sitendewi haki
 
Hizi leseni za uchimbaji wa madini mbona haziheshimiwi hapa babati inaonekana kama sio nyaraka za serikali?
 
Yaani serikali inatoa leseni alafu inashindwa kusimamia leseni husika,matokeo yake sisi wananchi tunaanza kutoana ngeu kisa viongozi wameshindwa kusimamia hili
 
Back
Top Bottom