Leseni ya Vodacom ilikuwa Mengi apewe

Status
Not open for further replies.

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Kuna fununu kuwa mfanya biashara maarufu Bw. Reginald Mengi alikuwa wa kwanza kuomba leseni ya Mobile Telecommunication.

Lakini kwa sababu zisizojulikana awamu iliyopita ilimyima Leseni na badala yake wakapewa Vodacom.

Je kuna mtu anafahamu ukweli wowote kwenye fununu hii?

Je kama Mengi angepewa, ingekuwa ina impact gani katika uchumi wa nchi?
 
a message expressing an opinion based on incomplete evidence
 
Dar Es Salaam;

I think next time it is good to read and understand the post before you make a post.

The meesage I wrote was not an opinion and was not even meant to provide evidence the reason why it is in NYEPESI.


I said "Kuna fununu" you know the meaning of Fununu. It is not an Opinion.

You also know Fununu may not provide proof, a reason why I asked "Je kuna mtu anafahamu ukweli wowote kwenye fununu hii?". Kuna ugumu kutafsiri hili Dar Es Salaam. Just to have support to compliment from my source.

Rumour from reliable source has it that Reginald Mengi was the first Tanzania to apply for a Mobile Communication Licence even before Vodacom applied for. When Vodacom came Mengi was refused and instead Vodacom was given it.

I know in Rwanda President Kagame is a bit serious kuwawezesha Wazalendo wa Rwanda. He has managed to give some parastatal organizations to Wazalendo even if it means few will come together to form joint ownership. This way, he has been helping Local Investors to take hold of prime investment although foreigners are also welcomed.

Can someone tell what would have happened if the Government purposely can fovour local investors? Would this have brought any impact?
 
Niliiona kuwa ni NYEPESI na mimi ndio nikaijibu ki wepesi wepesi lakini naona mwenzangu umeichukulia ki UZITO. To me its still simply hypothesis.

Because I am the one who was the first to apply for a "cell" phone license way back in 1982. Unfortunately it was way before its time for Tanzania.

Take it or leave it.
 
Du! Mwanawani hizi ni Nyepesi kweli. 1982 hata Technolojia ya Simu za Mkononi ilikuwa bado.

You are not serious. So I leave it.
 
Ni kweli alikuwemo katika wale waliomba na uwezekano mkubwa ilikuwa yeye au kampuni ingine lakini Voda walicheza rafu.

Fuatilia zaidi utapata majibu

Z
 
Angepewa na yeye angeuza hisa tu anakuwa local share holder anasubiri cha juu....
 
Kuna fununu kuwa mfanya biashara maarufu Bw. Reginald Mengi alikuwa wa kwanza kuomba leseni ya Mobile Telecommunication.

I thought the first Mobile Telecom License was given to Mobitel, Then Second to Tritel, and only then did Vodacom enter the market. Correct me if I'm wrong.
 
Sasa kati ya Mengi na Voda nani ana experience zaidi ya hii sekta?
 
Hii mada inaonesha kweli haijajitosheleza hata kama unataka kuita fununu / nyepesi nk.

Kama Mengi aliomba leseni, basi aliomba kivyake kama wanavyoomba wengine ikiwemo vodacom, Mobitel, Tritel, Celtel nk. Sasa unaposema kuwa Mengi aliomba akanyimwa akapewa Vodacom, haileti maana yoyote zaidi ya kuwa maelezo yako hayajakamilika.

Inawezekana kuwa aliomba leseni kabla ya Vodacom, lakini kama hakukidhi haja au masharti yaliyomo katika maombi sidhani kama ageliweza kupewa tu just because ni Mengi.

Kumbuka katika sakata la Mengi vs Masilingi:
Mengi aliomba kuuziwa Kilimanjaro Hotel lakini hakuwa ametimiza masharti ya maombi yale kwa hiyo hakuweza kununua Hoteli ile ( Japokuwa alikuwa anataka kununua kama middleman).

Kumbuka katika sakata la Mengi vs Mama Munyagi (DG wa TCAA):
Mengi akiwa backed na 'wajanja wa mjini' Musiba na Kaunda na kwa kutumia vyombo vyake vya Habari, alimshutumu hadharani Mama Munyagi kuwa anamuonea hataki kumpa leseni ya kurusha Air Bus iliyoletwa kwa ajili ya Kampuni ya Ndege ya Africa One.
Msimamo wa Mama Munyagi usiotetereka hatimaye ulimletea aibu Mzee mzima Mengi na hata mwishowe kuwatupia lawama Musiba na Kaunda na hapo ndiyo ukawa mwanzo na mwisho wa Africa One.

Kwa hiyo sidhani kama kunajambo lolote lililomzuia au linalomzuia Mengi kusajili kampuni ya simu za mikononi
 
Huyu Mengi si atuge kitabu basi??? Kueleza maswahibu yote yaliyowahi kumkumba kibiashara........
 
Kuliko kuendeleza fununu na kutafuta sababu za Mengi kuonewa si bora mtoa fununu angemshauri jinsi ya kuendeleza biashara alizonazo na kukua. Mengi alikuwa anafanya biashara kubwa wakati Bakhresa anashona viatu na kuoka mikate lakini sasa hivi Bakhresa anafunika afrika mashariki, kati na kusini na Mengi na wapambe wake wanatufa mchawi kwanini wanashindwa.

Fununu zingine zimekaa kimtego mtego na hazina tija hata kwa mtoa hoja mwenyewe.
 
Hivi kwa nini wafanyabiahara wengine wakubwa hatusikii wakilalamikalalamika kama Mengi? Kwa nini yeye tu ndiye anaonewa kila wakati?
 
Ni kweli alikuwemo katika wale waliomba na uwezekano mkubwa ilikuwa yeye au kampuni ingine lakini Voda walicheza rafu.

Fuatilia zaidi utapata majibu

Z

WIZI MTUPU, KAMA NI SUALA LA KUMPAMBA MENGI BASI TUENDELEE OTHERWISE NADHANI MMETUMWA NA MAFISADI.

MIC alipata, Trtel ambapo mmbia mmojawapo alikuwa MTZ, baadae akaja Vodacom, najiuliza hivi KWANI KULIKUWEPO NA LIMIT YA PLAYERS MPAKA AKAPATA VODACOM NA MENGI AKAKOSA? KWA UZOEFU WANGU MDOGO NAAAMINI VODACOM IS MORE EXPERIENCED IN MOBILE TELECOMMUNICATION INDUSTRY ZAIDI YA IPP.

So hata kama Mengi alikosa sidhani kama ni rafu. Hivi Mengi ndio kila kitu?
 
Hivi kwa nini wafanyabiahara wengine wakubwa hatusikii wakilalamikalalamika kama Mengi? Kwa nini yeye tu ndiye anaonewa kila wakati?

Naanza kusikia Harufu ya Mengism humu ndani. yaani jamaa anashindwa kufuata vigezo, akipigwa chini anaanza kulia lia naonewa na nyie mnakurupuka na kucheza ngoma teheee
 
Ninachoweza kusema mengi ni msanii tu naomba niwakumbushe alivyoletewa mabilioni ya ukimwikwenye mfuko wake na kisha kutangaza kutangaza eti watu wasiojulikana wameiba pesa hizo katika akaunt yake waswahili husema nduguyo msaidie faini nasiyo kesi.
 
:) :) Supaman, kakaa almost mwaka mmoja bila kugusia 'fununu/tetesi' hii... ghafla huyo, kairudia!!

Mimi nadhani kwamba Superman ana stori ambayo angependa kuisema, ila kaamua kuzunguka mbuyu..... ingekuwa vyema kweli kama angeyasema yote tu yale ajuayo kuhusiana na jambo hili ili watu wapate kulifahamu kiundani zaidi. Na kama kuna mambo ya kupelekea sheria kuingizwa ndani kutokana na ukiukwaji hapo awali, basi na iwe hivyo. Otherwise, Supaman anaweza akarudi tena January 2010 kufatilia tetesi/fununu hii!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom