LESENI YA TOUR (LATRA) Kwa Wenye magari aina ya pick up, Noah, family cars kama Toyota Alphard

Bani Israel

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,448
2,394
Sheria mpya ya mwaka 2020 iliyowapa nguvu LATRA Kukatisha leseni ya tour kwenye magari ambayo wanahisi hutumika pia kukodishwa kwenye mashuguli na kadhalika gari aina zote za pickup family cars kama Toyota alphard,Noah hiace, nk wanatakiwa kuanza katia leseni hiyo ya tsh 144,000 na hakuna cha gari private wala nn ni gari zote za aina hiyo zinatakiwa kukatiwa leseni hiyo kuepuka usumbufu na fine zisizo za lazima.

Nimesisitiza kwa ukali kwa kuwa ni sheria sio ombi
MITANO TENA
Uzi tayari
 
Mitano tena
 
Mkuu tembajr,tunakuhitaji kule kwenye ule uzi wa mabasi ya youtongna scania,madini yako ni muhimu kule
 
swali langu vipi kuhusu gari za utalii nikiwa na LATRA na leseni inaruhusu kwenda popote east africa je naweza kuifanyia biashara ya kubeba abiria hasa kipindi hiki wazungu hamna??
 
Waweke magari yote kwani ni vigumu kutambua ni wakati gani limekodiwa au la, wasisahau pikipiki, Bajaji na Guta!
 
swali langu vipi kuhusu gari za utalii nikiwa na LATRA na leseni inaruhusu kwenda popote east africa je naweza kuifanyia biashara ya kubeba abiria hasa kipindi hiki wazungu hamna??
Kubeba abiria lazma uweke plate number nyeupe 😁😁😁 ni gharama ingine.
 
Sheria mpya ya mwaka 2020 iliyowapa nguvu LATRA Kukatisha leseni ya tour kwenye magari ambayo wanahisi hutumika pia kukodishwa kwenye mashuguli na kadhalika gari aina zote za pickup family cars kama Toyota alphard,Noah hiace, nk wanatakiwa kuanza katia leseni hiyo ya tsh 144,000 na hakuna cha gari private wala nn ni gari zote za aina hiyo zinatakiwa kukatiwa leseni hiyo kuepuka usumbufu na fine zisizo za lazima.

Nimesisitiza kwa ukali kwa kuwa ni sheria sio ombi
MITANO TENA
Uzi tayari
Sio kweli
FB_IMG_1606466096450.jpg
 
Hizi habari sio za kweli ndugu

Mitano tena

Ya kweli ni hii
FB_IMG_1606466096450.jpg
 
Back
Top Bottom