Leseni ya Malwarebytes Premium ya Miaka 4 kwa 20,000 TZS baadala ya 368,000 TZS

chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
44
Points
125
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined Jul 28, 2018
44 125
Habari wadau, kwa upande wa Antivirus kwa sasa, ya uhakika na ambayo haitatumia uwezo mkubwa kufanya kazi katika system yako, ni Malwarebytes. ndio wengi wanapenda kutumia Windows Defender, ni bure na pia inafanya kazi vizuri sana... ata mimi nimekuwa natumia Defender kwa miaka zaidi ya 5.. na ilikuwa Security tosha kabisa, ila udhibiti wake unamipaka, kama Malware na Adware, haya ni aina ya virusi ambazo, kazi yake sio kudhuru system yako ila, nikunufaika na matangazo pamoja na information zako,, so ziko zinarun kweneye Kompyuta yako kwa muda mrefu bila wewe kujua, kwasababu hauoni shida sana, ndio kuna mara nyingine unaona Kompyuta inakuwa slow kwa muda kadhaa, au kuna matangazo yanatokea na kuondoka..

Mara Kompyuta inachukua muda kuwaka, nk hii ni kazi ya Malware, na nyingi Windows Defender haiwezi kuvigundua au ata akivingudua hawezi kuvitoa..

Hapo ndo Malwarebytes anapokuwa mkombozi, jaribu ata kudownload free trial ya Malwarebytes na kisha scan PC yako, utashangaa kuona vitu vilivyomo kwenye PC yako bila wewe kujua au Antivirus nyingine kuwahi kuviona na kutoa.

Nawasii sana kutumia Malwarebytes, iko viruzi sana na ndo naiamini sana kwa sasa, pia uzuri wake unaweza run Malwarebytes pamoja na Windows Defender pamoja. Hii ilinipata mimi nilikuwa nainstall crack, kumbe huyo crack alikuja na virus huku akijificha kwama malware.. Defender akashindwa kupambana nae... niliangaika kweli mpaka mtu akanipa ushauri wa kuweka Malwarebytes, na kusema kweli Malwarebytes akaweza kunusuru system yangu na kufuta kabisa huyo kirusi, ingawa kuna baadhi ya vitu huyo kirusi aliweza kuvidhuru,, Kutoka siku hiyo natumia Malwarebytes na sijapata shida tena.

Sasa kwa wale watakao hitaji Leseni kwa Punguzo la Bei kubwa tu, hiii ofa haitakuepo muda mrefu maana ni ofa kabambe sana.

Unapata Leseni ya Miaka 4 kwa 20,000 TZS tu baadala ya bei yake ya kawaida ya 368,000 TZS (4 YEARS)

Leseni hii unaweza tumia either kwenye Computer ya Windows, Mac au simu, kote Malwarebytes Security ipo na inalida vifaa vyako.

Miimi ninauza kuponi tu ambayo itakupa discount kutoka 368,000 TZS mpaka 20,000 TZS na kumbuka kuwa unanunua moja kwa moja kutoka Malwarebytes wenyewe, ambayo watakupatia na akaunti pia ya ku manage leseni yako katika vifaa vyako utakayo amua kutumia hiyo leseni.

So kuchanganua.

Nauza Kuponi kwa 8,000 TZS

Hiyo kuponi utatumia katika tovuti ya Malwarebytes ili upate hiyo ofa ya bei 12,000 TZS tu kwa leseni ya miaka 4

Jumla inakugharimu 20,000 TZS, mimi unanipatia 8,000 TZS tu.

Karibuni wadau

Nitatoa Kuponi moja bure kwa member ambaye anaamiinika humu ili aweze lete mrejesho

malwarebytes-coupon-jf-jpg.1151795
 
johnhance

johnhance

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Messages
775
Points
1,000
johnhance

johnhance

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2016
775 1,000
ukiwa na ya Kaspersky nicheki
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,976
Points
2,000
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,976 2,000
Mkuu, siku hizi keygen na cracks hazifanyi kazi nini? I've never paid for an app before zaid ya apps za apple store
 
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
44
Points
125
chrstian gwah

chrstian gwah

Member
Joined Jul 28, 2018
44 125
Mkuu, siku hizi keygen na cracks hazifanyi kazi nini? I've never paid for an app before zaid ya apps za apple store
Zipo ila.. ikubukwe kuwa uncrack nini.. Kuicrack Antivirus ili ikulinde ni sawa na kumuibia Mlinzi wako anayekulinda, siku ya siku mambo yakiwa hatarini, unategemea atakusaidia kweli?

Kwa Antivirus, usually crack maana yake huwezi update database au kwenda version mpya, na kwa Security ni kitu cha muhimu sana, ku update mara kwa mara, ili iweze tambua threat na virusi wapya na iendelee kululinda vizuri, haswa sasa kwa kuwa tunatumia internet mara kwa mara, security ni muhimu sana.
 

Forum statistics

Threads 1,324,451
Members 508,686
Posts 32,161,160
Top