Amesema walaka sio warakaTunaomba huo waraka mkuu
AiseeApo apo TCRA kila mwisho wa wanachukua ten percent kwa kila commission itakayo ingia kwenye lain mfano ukipata 500,000/= wanabeba 50,000/= hiyo kwa lain moja zikiwa 4 shs 200,000/=.....nasema ccm oyeeeeee
Hujuma za kifedha?Duu, hatari sana. Kumbe ndo chanzo cha lile zoezi lililokuwa linaendelea la kusajili watoa huduma wote wa hujuma za kifedha
AmepaTIA kwa kukoseaHujuma za kifedha?
Huduma za kifedha, sorryHujuma za kifedha?
Kuna usajili wa watoa huduma za fedha wote kwenye kanzidata/database, na pia sheria ya huduma ndogo za fedha ya 2018 inazitaka taasisi za fedha Kama microfinance companies na wakopesha fedha binafsi kupata leseni.Duu, hatari sana. Kumbe ndo chanzo cha lile zoezi lililokuwa linaendelea la kusajili watoa huduma wote wa hujuma za kifedha