Leopard Mahona - Mgombea wa CUF mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la Igunga

[/quote]watanzania mbona hatutaki kuwa wa kweli? Kama ndio hivi ipo kazi ya ziada yakufanya, ukweli cuf igungu wananafasi kubwa ya kushinda semeni ukweli hata kama unauma. Ushabiki wa chama na halihalisi ya mambo tofauti kabisa, muache uongo wacheni wanaigunga wachague wenyewe, cuf jipangeni vinzuri kwenda kumnadi huyu bwana anauzika na sisi vijana wa igungu tuko nyuma yenu. Lengo letu nimaendeleo sio vinginevyo na amini kijana mwezetu anaweza
 
[/QUOTE]WATANZANIA MBONA HATUTAKI KUWA WA KWELI? KAMA NDIO HIVI IPO KAZI YA ZIADA YAKUFANYA, UKWELI CUF IGUNGU WANANAFASI KUBWA YA KUSHINDA SEMENI UKWELI HATA KAMA UNAUMA. USHABIKI WA CHAMA NA HALIHALISI YA MAMBO TOFAUTI KABISA, MUACHE UONGO WACHENI WANAIGUNGA WACHAGUE WENYEWE, CUF JIPANGENI VINZURI KWENDA KUMNADI HUYU BWANA ANAUZIKA NA SISI VIJANA WA IGUNGU TUKO NYUMA YENU. LENGO LETU  NIMAENDELEO SIO VINGINEVYO NA AMINI KIJANA MWEZETU ANAWEZA  
 
Hapa tutapiga ngonjera tu, maamuzi yote yako mikononi mwa wana Igunga, na kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki basi maamuzi yao yaheshimiwe.
 
kazi ya sasa; mratibu wa shirika moja la kidini(halikupatikana) – dar es salaam.
.... alipata zaidi ya kura 11,000 katika uchaguzi huo lakini alishindwa kutokana na uwezo mdogo wa kifedha aliokuwa nao.
Kwenye red naomba shirika hilo lisiwe la Al Shabaab.
Kwenye bold kama anategemea uwezo wa pesa ili ashinde na si uwezo wa kujenga hoja basi hafai, halafu kama alishindwa kwa uwezo mdogo kifedha ana uhakika gani safari hii atakuwa na pesa kuwashinda wagombea wengine, ina maana na safari hii asipokuwa na pesa nyingi atashindwa tena.
 
subiri uzini huko mnaweza kuchukua.bara iachieni chadema kwani cuf imeshatulizwa na ccm na anaetulia wenzake ni rashid hamad.
huyu akienda bungeni atasinzia tu kwani siku hizi cuf ukiwasikia tu bungeni maswali yao ni je zanzibar ni nchi au si nchi?
bongo tuna matatizo kibao nyie mnakuja na siasa mbovu za kizamani.
mahona unaweza ukawa mzuri ila utakuwa umekosea lengo ni kwenda dar lakini umeingia gari ya mnadani kaka.
 
Swala la kuwa kijana siyo hoja' hebu ona wabunge vijana wa ccm hovyo kabisa'(Job Lusinde,Mwigulu,Zainabu Kawawa,n.k) wanaoandaa vijana ni Chadema tu hata ukali wa akina Kafulila waliupata wakiwa Chadema.Swala la kushinda kisa aligombea 2010 halipo! Kama ni hvyo Lipumba angekuwa rais wa nchi hii amegombea tangu 1995 ,wanaigunga kama wataamua kuchagua Upinzani chadema ndio chama peke cha upinzani kwa sasa hata wao wanajua.

"MAPINDUZI YA NADHARIA YATALETWA NA WAZEE NA MAPINDUZI YA VITENDO YATALETWA VIJANA"-Plato.Usitake kuanza kutetea wazee akinaJairo ama akina Wasira wabunge wanaolala bungeni.TUNATAKA VIJANA WAPELEKE TAIFA MBELE,wazee watushauri tu.Akina SHIBUDA wa CHADEMA Hao ndo wazee mnaowataka.
 
Katika mambo ambayo CHADEMA imechemka ni kuokota mzee asiye na uwezo hata jukwaan hata kujenga hoja hawezi kisa mwalimu.Chadema haina watu igunga matokeo yake wanaokota yeyote anayejitokeza kama kawaida yao.Hao ndo waofanya vituko bungeni
 
Back
Top Bottom