Leonardo da Vinci alimaanisha nini katika picha hii? Nani alizunguka dunia kusambaza hii Teknoloji miaka ya BC?

Watajua endapo watakua na shauku ya kujua, ila kikubwa binadamu sikuzote huwa anafanya yake yaliyopo (present) a yaliyopita si ndwele (ndio kama haya ) huganga yajayo (future)
kizazi kijacho ndo kitakua na faida ya kujua kila kitu kinachofanyika sasa hivi kwasababu ya teknolojia iliyopo sasa.
 
Nimecheka mpaka watu wananiona chizi aisee dada unejua kunichekesha ulivyoamua kuyamaliza umeona isiwe shida
siumizi sana kichwa wakati Musa alipasua maji watu wakapita
watu walikua Advanced😂
 
SALUTE COMRADES

Hii mijengo hapa chini ni mijengo iliyojengwa miaka mingi zaidi kabla ya Kristo, enzi hizo teknolojia ya usafiri ilikua chini!

Swali ni je, nani aliyezunguka bara moja kwenda lingine kusambaza hii teknolojia?

Ikumbukwe mpaka leo hii mzungu hajaweza gundua haya majengo yalijengwa vipi. Yapo bara la Africa, Asia na America.

View attachment 750214

Pia tujiulize kwanini yote yamejengwa na milango mitatu na mmoja mkubwa wa katikati? Nini maana yake? Nini maana ya namba 3?

Leonardo Da'Vinci katika mchoro/picha yake inayofahamika kama The Last Supper, pia ameweka hiyo milango mitatu!

View attachment 750215

What does it mean?

Cc
Palantir zitto junior Malcom Lumumba Astelia
Angeweka miwili pia msingekosa cha kuandika
 
Mkuu happy kwenye namba muhimu naweza kua convinced ila namba kubwa kuliko zote upo totally wrong
Namba 3 ni namba muhimu na kubwa kuliko namba zote toka kwenye dini (utatu mtakatifu, kukanwa mara tatu, malaika watatu, ufufuko siku ya 3), hesabu (triangle, dimensions, Triad) hadi kwenye maisha ya kila siku (rangi kuu 3)!!.. Huo ujenzi wa majengo ni kufata principle za Euclidean 3 Space na 3-manifold utaelewa zaid!.. Ikiwa na touch za Lost generration za Aztec, Mayan na Atlantis civilizations.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom