Leo Zambia wamenifurahisha hivyo ni matuamini yangu makubwa pia ndani ya Wiki moja ijayo Namibia na Guinea nao watanifurahisha

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein (Simba SC) na Kipa Metacha Boniface Mnata ( Yanga SC ) haitaisha leo wala Kesho na kama kuna Mtanzania aliyeyafurahia haya matokeo ya Kufungwa na Zambia leo basi ni mimi All - Rounder na sijui kwanini Wazambia wametufunga machache.

Kwa mfano leo Kocha hovyo kabisa amechezesha almost Wachezaji wapya tupu (70% ) ambapo wengi Wao hii ndiyo mara yao ya Kwanza Pasipoti zao Kugongwa Mihuri JNIA na hata Kupanda Ndege huku wakiwa Washamba watupu halafu unawaacha Wachezaji wazoefu na wenye exposure wa Simba, Yanga na Azam na kutupangia Wapuuzi watupu sijui akina Mapogolo na Lyanga ambao wameharibu mno.

Hivi mechi kama hii ya leo ilikuwa ni ya Kuwaacha nje Wachezaji kama akina Ndemla, Kaseke, Farid na Muzamiru? Hivi ni kweli mbavu ya Kushoto ya leo Manyama (Namungo FC) ana uwezo au Kiwango cha kumzidi Yasin ( Yanga SC ) ambaye angalau kidogo angeweza kwa leo tu kuwa mbadala mzuri ( japo hajamfikia kabisa ) Beki mwenye Ubarikio kutoka kwa Mwenyezi Mungu wa hiyo namba tatu Mohammed Zimbwe Hussein?

Kuna taarifa tena (exclusive) kabisa kumhusu Kocha wa Taifa Stars anachokifanya ambayo nimepenyezewa na Chanzo changu aminika kabisa ndani ya TFF na Kambi ya Taifa Stars inayopelekea hata Selection zake kuwa na utata mara kwa mara na nilivyo na Jazba nae nasubiri tu tufungwe rasmi na tufurumushwe kabisa Mashindanoni na Nambia pamoja na Guinea kisha nimuanike huyu Mrundi ambaye anadhani Watanzania wote ni Wapuuzi.

Na uzuri tu ni kwamba Wachezaji muhimu walioachwa ni Wawili na leo tena tumefungwa Goli mbili na naomba ziendelee hizi hizi mbili mbili tupu!!
 
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein ( Simba SC ) na Kipa Metacha Boniface Mnata ( Yanga SC ) haitaisha leo wala Kesho na kama kuna Mtanzania aliyeyafurahia haya matokeo ya Kufungwa na Zambia leo basi ni mimi All - Rounder na sijui kwanini Wazambia wametufunga machache....
Una hasira za kula ban kwa id yako zoefu. Una dharau na jeuri isiyo na maana. Hao wachezaji unaowaita washamba, wapuuzi, wajinga hawana kosa maana wameitwa na anayesemaka kuwa ni kocha wakatii. Mengine ni ya kweli ila umeongezea na kujinga kako
 
Idiot.
 
Manyama ndio beki bora labda ungeongeza Luhende pale beki ya kati alikosea kuanza bila beki mzoefu ni kweli chipukizi wengi wameharibu Mhilu, Lwanga walikuwa wanafikiria kupata sifa binafsi vadala ya kucheza kama timu.
Nchimbi anafanya vizuri akitokea sub, mabadiliko ta kaseke hayakusaidia lolote
Matokeo ya jana kocha gawezi kukwepa lawama
 
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein ( Simba SC ) na Kipa Metacha Boniface Mnata ( Yanga SC ) haitaisha leo wala Kesho na kama kuna Mtanzania aliyeyafurahia haya matokeo ya Kufungwa na Zambia leo basi ni mimi All - Rounder na sijui kwanini Wazambia wametufunga machache.

Kwa mfano leo Kocha hovyo kabisa amechezesha almost Wachezaji wapya tupu ( 70% ) ambapo wengi Wao hii ndiyo mara yao ya Kwanza Pasipoti zao Kugongwa Mihuri JNIA na hata Kupanda Ndege huku wakiwa Washamba watupu halafu unawaacha Wachezaji wazoefu na wenye exposure wa Simba, Yanga na Azam na kutupangia Wapuuzi watupu sijui akina Mapogolo na Lyanga ambao wameharibu mno.

Hivi mechi kama hii ya leo ilikuwa ni ya Kuwaacha nje Wachezaji kama akina Ndemla, Kaseke, Farid na Muzamiru? Hivi ni kweli mbavu ya Kushoto ya leo Manyama ( Namungo FC ) ana uwezo au Kiwango cha kumzidi Yasin ( Yanga SC ) ambaye angalau kidogo angeweza kwa leo tu kuwa mbadala mzuri ( japo hajamfikia kabisa ) Beki mwenye Ubarikio kutoka kwa Mwenyezi Mungu wa hiyo namba tatu Mohammed Zimbwe Hussein?

Kuna taarifa tena ( exclusive ) kabisa kumhusu Kocha wa Taifa Stars anachokifanya ambayo nimepenyezewa na Chanzo changu aminika kabisa ndani ya TFF na Kambi ya Taifa Stars inayopelekea hata Selection zake kuwa na utata mara kwa mara na nilivyo na Jazba nae nasubiri tu tufungwe rasmi na tufurumushwe kabisa Mashindanoni na Nambia pamoja na Guinea kisha nimuanike huyu Mrundi ambaye anadhani Watanzania wote ni Wapuuzi.

Na uzuri tu ni kwamba Wachezaji muhimu walioachwa ni Wawili na leo tena tumefungwa Goli mbili na naomba ziendelee hizi hizi mbili mbili tupu!!
Duh! Unazungumzia kipa? Mbona Kaseja yumoooooooooooh.
 
Unaacha kumlaumu JPM na TFF halafu unamlaumu Kocha? Ile kauli ya Jiwe ya kutotaka Stars kujaa wachezaji wa Simba na Yanga wasiwe wengi kikosini,bali wale wa 'vitimu vya hovyo hovyo' ndo wawe wengi kikosini,ndo iliyotumika kuwapata hao wachezaji.

Si mnajua kabisa kwamba watu wengi wanatembea na kila kinachotoka mdomoni mwa jiwe?Basi TFF nao wameunga juhudi na kumwelekeza kocha jambo la kufanya.

Yale ma kauli ya kishamba shamba sasa yameanza kuleta impact.
 
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein (Simba SC) na Kipa Metacha Boniface Mnata ( Yanga SC ) haitaisha leo wala Kesho na kama kuna Mtanzania aliyeyafurahia haya matokeo ya Kufungwa na Zambia leo basi ni mimi All - Rounder na sijui kwanini Wazambia wametufunga machache.

Kwa mfano leo Kocha hovyo kabisa amechezesha almost Wachezaji wapya tupu (70% ) ambapo wengi Wao hii ndiyo mara yao ya Kwanza Pasipoti zao Kugongwa Mihuri JNIA na hata Kupanda Ndege huku wakiwa Washamba watupu halafu unawaacha Wachezaji wazoefu na wenye exposure wa Simba, Yanga na Azam na kutupangia Wapuuzi watupu sijui akina Mapogolo na Lyanga ambao wameharibu mno.

Hivi mechi kama hii ya leo ilikuwa ni ya Kuwaacha nje Wachezaji kama akina Ndemla, Kaseke, Farid na Muzamiru? Hivi ni kweli mbavu ya Kushoto ya leo Manyama (Namungo FC) ana uwezo au Kiwango cha kumzidi Yasin ( Yanga SC ) ambaye angalau kidogo angeweza kwa leo tu kuwa mbadala mzuri ( japo hajamfikia kabisa ) Beki mwenye Ubarikio kutoka kwa Mwenyezi Mungu wa hiyo namba tatu Mohammed Zimbwe Hussein?

Kuna taarifa tena (exclusive) kabisa kumhusu Kocha wa Taifa Stars anachokifanya ambayo nimepenyezewa na Chanzo changu aminika kabisa ndani ya TFF na Kambi ya Taifa Stars inayopelekea hata Selection zake kuwa na utata mara kwa mara na nilivyo na Jazba nae nasubiri tu tufungwe rasmi na tufurumushwe kabisa Mashindanoni na Nambia pamoja na Guinea kisha nimuanike huyu Mrundi ambaye anadhani Watanzania wote ni Wapuuzi.

Na uzuri tu ni kwamba Wachezaji muhimu walioachwa ni Wawili na leo tena tumefungwa Goli mbili na naomba ziendelee hizi hizi mbili mbili tupu!!
Mkuu kauli za wanasiasa na masilahi binafsi ya viongozi wa mpira wa miguu hapa nchini ndio sababu kubwa ya hii team kufanya vibaya.
Kocha anataka kuwaridhisha wana siasa na baadhi ya watu kwa maslahi ya wachezaji wao kwa kutumia kivuli cha kukuza vipaji vipya.

Ukweli ni kwamba sisi Chan mwaka huu hatujapeleka team ya ushindani bali tumepeleka team ya majaribio kwenda kukuza vipaji na matokeo yake ndio haya tunayaona sasa na nakubaliana na wewe kuwa hatutapata hata pont 1 kwenye haya mashindano kamwe.

Huwezi kuacha wacheji wazoefu wote nyumbani na hata hao wachache ulio wachukua bado unawaweka bench kwa makusudi kabisa mfano mabao yote mawili makosa yalianzia katikati pale kwa baraka Majogoro Kisha cross ikapigwa pembeni kushoto kule kwa Manyama inakuja kwenye box Kapombe anajitahidi kuokoa hadi ananawa mpira, Goli la pili napo vile vile ni kule kule kushoto mtu kapiga cross jamaa anaunganisha mpira kambani.

Katikati pamekufa kabisaa ajabu Ndemla yuko bench pale hapewi nafasi, viungo wa Kati wazuri kabisa Kama Mzamiru, Sure boy, Frank Domayo na Mkude wameachwa kwa makusudi kabisa.

Kule mbele ndio kabisaa, yani unamuweka bench Faridi Musa alafu unamuanzisha Mhiru ambae hata ball control nzuri hana, Kama haitoshi tumewaacha mawinga wazuri kabisa huku Nyumbani Kama Iddi Nado na Hassani Dillunga kisa tunataka kukuza vipaji!!!

Nchimbi unamuweka mbele na Lyanga heti ndio wawe wafungaji huku huyu nchimbi hata tu kwenye team yaka hapati nafasi ya kucheza anakaa bench tangu msimu wa ligi imeanza hajafunga goli hata moja alafu eti ndio tunategemea akatupe matokeo CHAN.

Wacha tu tufungwe sababu tupo kwenye majaribio ya kikosi na si kushindana.
Nadhani first half tulifanya vizuri kidogo na hats eneo LA kiungo hatukuwa wabaya sana, mtizamo wangu ni kwamba

1. Kocha alichowaambia wachezaji wakati wa Half time kinaweza kuwa sababu kipigo. Yamkini kama aliwaambia "Hawa tunawamudu" hivyo kuwafanya wachezaji wawe na attacking mind na hivyo kutengeneza mwanya kati ya Beki na midfields & Attacker ambao ulitumia vyema na Zambia

2. Mbinu za Kocha wa Zambia za kuongea viungo ( midfields) zilitufanya tupoteane na kuwafanya Backline kuwa katika Pressure toka kwa Wazambia muda mwingi.

3. Concentration ya timu nzima labda ukiondoa Goal keeper na backline ilipotea kipindi cha pili, zile interception za first half zilipotea kabisa. Yamkini fitness ya wachezaji wetu nayo ni yakutilia shaka.

4. Nadhani tunaweza kufanya maboresho ILA maoni yangu ni kwamba tungepeleker timu ya vijana under 20 wakapate uzoefu na pia kuwawezesha kuonekana na mawakala.

Ahsante
 
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein (Simba SC) na Kipa Metacha Boniface Mnata ( Yanga SC ) haitaisha leo wala Kesho na kama kuna Mtanzania aliyeyafurahia haya matokeo ya Kufungwa na Zambia leo basi ni mimi All - Rounder na sijui kwanini Wazambia wametufunga machache.

Kwa mfano leo Kocha hovyo kabisa amechezesha almost Wachezaji wapya tupu (70% ) ambapo wengi Wao hii ndiyo mara yao ya Kwanza Pasipoti zao Kugongwa Mihuri JNIA na hata Kupanda Ndege huku wakiwa Washamba watupu halafu unawaacha Wachezaji wazoefu na wenye exposure wa Simba, Yanga na Azam na kutupangia Wapuuzi watupu sijui akina Mapogolo na Lyanga ambao wameharibu mno.

Hivi mechi kama hii ya leo ilikuwa ni ya Kuwaacha nje Wachezaji kama akina Ndemla, Kaseke, Farid na Muzamiru? Hivi ni kweli mbavu ya Kushoto ya leo Manyama (Namungo FC) ana uwezo au Kiwango cha kumzidi Yasin ( Yanga SC ) ambaye angalau kidogo angeweza kwa leo tu kuwa mbadala mzuri ( japo hajamfikia kabisa ) Beki mwenye Ubarikio kutoka kwa Mwenyezi Mungu wa hiyo namba tatu Mohammed Zimbwe Hussein?

Kuna taarifa tena (exclusive) kabisa kumhusu Kocha wa Taifa Stars anachokifanya ambayo nimepenyezewa na Chanzo changu aminika kabisa ndani ya TFF na Kambi ya Taifa Stars inayopelekea hata Selection zake kuwa na utata mara kwa mara na nilivyo na Jazba nae nasubiri tu tufungwe rasmi na tufurumushwe kabisa Mashindanoni na Nambia pamoja na Guinea kisha nimuanike huyu Mrundi ambaye anadhani Watanzania wote ni Wapuuzi.

Na uzuri tu ni kwamba Wachezaji muhimu walioachwa ni Wawili na leo tena tumefungwa Goli mbili na naomba ziendelee hizi hizi mbili mbili tupu!!
Umeongea kwa hasira sana..anyways yote uliyosema ni kweli kasoro moja tuu.
Hilo la watanzania kuwa wapuuzi ni kweli maana haiwezekani tukaacha kuwapa national timu wazawa ata kwenye mashindano haya ya chan. Hii ilikuwa fursa ya pia kuwatangaza makocha wetu wazawa
 
Upo sahihi mkuu,yaani kiufupi ni kwamba wachezaji wengi wa Tanzania hawajui mpira,tutamlaumu kila kocha atakae kuja kukinoa kikosi....ninaamini hata kingechukuliwa kikosi Cha taifa (pamoja na wanaocheza nje)kikashiriki CHAN bado kingetoka kapa
 
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein (Simba SC) na Kipa Metacha Boniface Mnata ( Yanga SC ) haitaisha leo wala Kesho na kama kuna Mtanzania aliyeyafurahia haya matokeo ya Kufungwa na Zambia leo basi ni mimi All - Rounder na sijui kwanini Wazambia wametufunga machache.

Kwa mfano leo Kocha hovyo kabisa amechezesha almost Wachezaji wapya tupu (70% ) ambapo wengi Wao hii ndiyo mara yao ya Kwanza Pasipoti zao Kugongwa Mihuri JNIA na hata Kupanda Ndege huku wakiwa Washamba watupu halafu unawaacha Wachezaji wazoefu na wenye exposure wa Simba, Yanga na Azam na kutupangia Wapuuzi watupu sijui akina Mapogolo na Lyanga ambao wameharibu mno.

Hivi mechi kama hii ya leo ilikuwa ni ya Kuwaacha nje Wachezaji kama akina Ndemla, Kaseke, Farid na Muzamiru? Hivi ni kweli mbavu ya Kushoto ya leo Manyama (Namungo FC) ana uwezo au Kiwango cha kumzidi Yasin ( Yanga SC ) ambaye angalau kidogo angeweza kwa leo tu kuwa mbadala mzuri ( japo hajamfikia kabisa ) Beki mwenye Ubarikio kutoka kwa Mwenyezi Mungu wa hiyo namba tatu Mohammed Zimbwe Hussein?

Kuna taarifa tena (exclusive) kabisa kumhusu Kocha wa Taifa Stars anachokifanya ambayo nimepenyezewa na Chanzo changu aminika kabisa ndani ya TFF na Kambi ya Taifa Stars inayopelekea hata Selection zake kuwa na utata mara kwa mara na nilivyo na Jazba nae nasubiri tu tufungwe rasmi na tufurumushwe kabisa Mashindanoni na Nambia pamoja na Guinea kisha nimuanike huyu Mrundi ambaye anadhani Watanzania wote ni Wapuuzi.

Na uzuri tu ni kwamba Wachezaji muhimu walioachwa ni Wawili na leo tena tumefungwa Goli mbili na naomba ziendelee hizi hizi mbili mbili tupu!!
Kwa hiyo hao wawili muhimu wangeanza tusingefungwa???
 
Back
Top Bottom