Leo wivu umenicost

jamani kujaribu jina ni nani ndo uweke kiwango chote hicho? Halafu jina huwa linakuja kabla hata ya kukubalikutuma! Walakini..ila pole haha

wakati mwingine inakuja namba tu. Jina linafuata baadae kwenye sms
 
Kama unachosema ni kweli basi ndugu ama una hela ya kuchezea au hauko makini kwenye maamuzi yako. Wewe namba hujui mwenyewe tena unahisi ni mchepuko wa wife halafu unatuma Tsh 50,000 eti kujaribisha???????
 
wenzio huwa tunaandika 500000000000000 ambayo hata kwenye simu huwezi weka.
 
hizi mbwembwe zingine hizi? kwani ungetuma buku isingekuletea jina?

au aandike fedha ambayo kamwe haijawahi kukaa kwenye simu yake....lol! Stori za kina Flora Mbasha ndo zilianzaga hivi hivi!!
 
Kama unachosema ni kweli basi ndugu ama una hela ya kuchezea au hauko makini kwenye maamuzi yako. Wewe namba hujui mwenyewe tena unahisi ni mchepuko wa wife halafu unatuma Tsh 50,000 eti kujaribisha???????

Huyu jamaa mwongo...mitandao yote lazima inakuletea jina la unayemtumia then Unatakiwa kuthibitisha/Confirm kabla hela haijatumwa...Huyu jamaa baada ya kuliona jina na akaendelea ku confirm???:der::der::der::der::der:
 
Na wewe ni mbulula, unajaribu wakati unajua fika akaunti yako ya m-pesa ina hela. Leo jaribu kunywa sumu uone kama inaua. Hapo ulikuwa na nia. Usingekuwa na nia ungejaribu kutuma milioni mia
 
Hatimaye amani imerejea mjengoni,,! Nawashukuru sana wale wote mlio nipa ushauri wenye busara! Nimeufanyia kazi,,,na wale wenye mzaha mtu anapotaka ushauri acheni.

Hakuna kupika leo ni ooooouuting!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom