Leo Wakuu ni Kufunguka Kuhusu Wahaya Unavyowajua!

kwakweli lonestriker waambie hao kuwa muhaya its a prevelage bana pole yao wasio wahaya, hakuna muhaya bek 3 km wapo nikwaasilimia ndogo sana, we r educated,we know what rilly lov is, ucombe ukapendwa na muhaya,karibun uhayan teh teh teh

Ninaye binti mmoja,mashallah!!
 
Acheni uzushi...kwa binadam aliyekamilika kazima atakuwa na sifa za kibinadam kama kupenda sifa, zarau, kiburi maringo roho mbaya roho nzuri. Sema tu tunazidiana levels..
 
bojo kubaki mnatuinsult? wenye wivu wajinyonge! any way i wil make sure una spend rest of your life for insult.
 
wahaya wanapenda misifa,na wanaishia kujipa kazi kibao.hapa mtaani kwetu kuna mmoja ni mhasibu,jumapili ni mchungaji,anauza duka,ni balozi wa nyumba kumi,ni mwalimu wa tuition na bdo ni mlinzi
 
Wanaopenda misifa %ge kubwa ni Waziba hawa wanatoka Wilaya ya
Bukoba vijijini. Kunata sana, wasiri sana, maringo, academic arrogance n.k. Nimekaa kidogo Wilaya ya Muleba; hawa wa Muleba hawana shida sana, wengi wao wako straight-forward, hawa tunzi kinyongo.

umesema kweli mkuu! Hawa wa kule kiziba,kwanza wana roho mbaya! Cjawahi ona,mfano kama baba ni wa Muleba kaoa mwanamke wa Kiziba,basi huyo mwanamke atahakikisha familia ya kwao inafaidika na mali za mumewe,sasa ndugu wa mume wakijaribu kuomba kimsaada,weee!! Mke atanyanyua domo hilo na kukandia mpaka mme ajione c lolote. Halafu hawa wahaya wa kiziba ni wambea jamani,balaa. Wanapiga domo sana na kujiona pia ni wanafiki balaa. Machoni kama anakufagilia lakini rohoni du! Hakutakii mema. Cha ajabu haya madudu huwa hayafi bwana.
Mi yamenikuta bwana we acha tu,tena mi Muhaya. Sisi watu wa Muleba huwa tunawaita hawa wa Bukoba vijijini yaani Waziba kwa jina kihaya la "NAGIRA NKWIBE" Ila cjapeleleza walikuwa wanamaanisha nini.
 
wahaya wanapenda misifa,na wanaishia kujipa kazi kibao.hapa mtaani kwetu kuna mmoja ni mhasibu,jumapili ni mchungaji,anauza duka,ni balozi wa nyumba kumi,ni mwalimu wa tuition na bdo ni mlinzi

we mbeya tu huna lolote,inamaana huyo tapeli unazani ni muhaya..bange mbaya sana!
 
umesema kweli mkuu! Hawa wa kule kiziba,kwanza wana roho mbaya! Cjawahi ona,mfano kama baba ni wa Muleba kaoa mwanamke wa Kiziba,basi huyo mwanamke atahakikisha familia ya kwao inafaidika na mali za mumewe,sasa ndugu wa mume wakijaribu kuomba kimsaada,weee!! Mke atanyanyua domo hilo na kukandia mpaka mme ajione c lolote. Halafu hawa wahaya wa kiziba ni wambea jamani,balaa. Wanapiga domo sana na kujiona pia ni wanafiki balaa. Machoni kama anakufagilia lakini rohoni du! Hakutakii mema. Cha ajabu haya madudu huwa hayafi bwana.
Mi yamenikuta bwana we acha tu,tena mi Muhaya. Sisi watu wa Muleba huwa tunawaita hawa wa Bukoba vijijini yaani Waziba kwa jina kihaya la "NAGIRA NKWIBE" Ila cjapeleleza walikuwa wanamaanisha nini.

uanaanza kuleta ya hawa wanyayangiro wale wayoza!
 
Back
Top Bottom