Leo wakazi wa Kigamboni tumekomeshwa, Kivuko kimoja tu kinafanya kazi

Ok mkuu ndio Mv kazi hio shukran kwa taarifa mkuu ngoja nizunguke tu Darajani japo Darajani njia ni mbovu ila bora kuliko kuibiwa simu hapo na hao beach boy
Vijamaa vya dar vnapndaa kulalamika sana!!!!!shithole
 
Usilaumu watu bila kujua hali halisi. Kwa kawaida zipo pantoni tatu ambazo zilifanya kutumia pantoni iwe rahisi kwa watu wa Kibada,Mji mwema nk. Sasa shida hapa ni kwamba ghafla leo imebaki moja tena ndogo inayoweza kubeba magari 22 tu. Kubwa inabeba magari 60, ya kati magari 40.
Naamini wengi wangejua kuwa kuna pantoni moja wangezunguka darajani, ukijua jiografia ya huko na daraja lilipo utajua kwanini wengi wana opt kutumia pantoni. Mimi binafsi natumia pantoni kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa tisa jioni tu. Ikiwa asubuhi sana na jioni natumia daraja.
Kwahy unajisif kuwa unatumia panton!!!!utakuf acha tamaa
 
Si mpite darajana wabongo bhana sasa kwa mfano hao wenye magari wanalazimisha nini daraja lipo free kabisa ila mnalazimisha kivuko..
 
Magari si yamejengewa daraja!

Nadhani hili lafaa kufanyiwa kazi. Kwamba Pantoni likiwa Moja magari yote yapitie Darajani. Na pia muda wa Pick time ya watu kuwa wengi Magari hivyo hivyo ya pitie Darajani.

Muda mwingine tunadharaulika kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu isipokuwa tunalaza bongo bure
 
Back
Top Bottom