Leo usiku saa 7 tar.7 mwezi wa 7 amka piga dua hii.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo usiku saa 7 tar.7 mwezi wa 7 amka piga dua hii..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Asa'rile, Jul 6, 2012.

 1. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF are also inclusive kwa sababu you know much concerning the state Matters.
  1.) Omba Wabunge wachawi wote wadhoofike na uchawi wao uwarejee wenyewe.
  Ikibidi wafe.
  2.) Piga Dua ya kuuteketeza Mwenge (wa Uhuru)? usiweze kumaliza mbio zake mwaka huu
  NB; Takwimu za maambukizi ya VVU zinasema wazi kuwa Mbio za mwenge zinachangia kwa kiasi
  kikubwa sana cha ukimwi kila unakopita. Na upotevu wa Mamilioni ya fedha zetu.
  3.) Piga Dua, wale mafisadi waliokwapua 300 Bilions na kuzipaisha Uswizi waanze kukatika mmoja
  baada ya mwengine (Usiogope wacha wafe, hao ni zaidi ya wachawi- God allows
  4.) Piga Dua, ukweli juu ya ishu ya Ulimboka utokeze hadharani kwa usahihi

  ukishamaliza dakika 10 tu inatosha, kisha tusubiri Sebene lake.
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tuambie tangu umeanza kupiga hizo dua zako ulikwishawahi kupata matokeo gani?
   
 3. j

  jaje Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i'l absolutely do that..
   
 4. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Mimi nasubiri mpaka 7/7/7777 saa 7 na sekunde 7 na nukta 7.
   
 5. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Mimi nasubiri mpaka 7/7/7777 saa 7 na dakika 7 na sekunde 7 na nukta 7.
   
 6. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Je km ninatumia kalenda ya kichina?
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mimi nasubiri 121212121212 yaani 12/12/12 Saa 12 dakika 12 na sekunde 12
   
 8. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Duuh umenichekesha sana..7777?
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,530
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha mi nitaomba moja tu Ulimboka apate afya njema.
   
Loading...