Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Leo naombeni tupige kura wadau wote wa jf.
Hivi kati ya maji(mvua) na moto(jua) kipi ni muhimu sana binafsi naona ni moto au jua sababu unatoa nuru na nishati ulumwenguni pia moto(jua) unatupa joto na kufanya viumbe hai hasa mimea kuweza kustawi.
Pia jua linakausha mazao na kutupikia chakula.
Je wewe mwenzangu na mimi una maoni gani kati ya mvua(maji) na jua(moto) kipi bora kuliko?