Leo tupate somo kwa wale wasiojua historia ya kanisa huku wakijidanganya wanajua

Biblia iliandikwa na watu waiovuviwa roho mtakatifu. Hivyo kuielewa inahitaji uwezo wako + uwezo wa roho mtakatifu. Hivyo omba kwa Mungu kabla ya kuanza kusoma. Na kama maarifa yoyote yalivyo upate mtu mjuzi akupe msaada.Ndivyo ninavyojua
Ndugu Mtukutu wa Nyaigela mimi pia ni Mkristo naomba nikuongeze hoja hapa nanukuu
"Biblia iliandikwa na watu waiovuviwa roho mtakatifu. Hivyo kuielewa inahitaji uwezo wako + uwezo wa roho mtakatifu...''

Inamaana hujui kama kuna vitabu vingine viliandikwa kama unavyoandika diary vile? mfano ukisoma injili ya Luka,Mathayo na Marko hawa waliandika maisha ya kila siku ama matukio ya kila siku ambayo walikuwa wanashuhudia na kuona kuhusu Yesu ndio maana kuna baadhi ya maeneo unakuta huyu kaweka huyu hajaweka so
mambo Mengine kuyaelewa usisingizie Roho mtakatifu tu bali tunapaswa kusoma na kuelewa na kufundishwa kama masomo mengine yalivyo ndio maana tulisoma Bible Knowledge na Divinity
 
Ni kweli nina 'lack of poor IQ'' kama ulivoandika,ila bado una nafasi ya kujua ukweli,maana natamani uijue ile kweli,nayo kweli itakuweka huru;
kwa matusi haya,uko sawa machoni pako tu;
Ujinga ni kutojiongeza kwamba mimi siyo Padre bali hilo chapisho limeandikwa na padre.

''Lack of poor IQ''.
 
hauko sawa akilini,uko nje ya mada,lakini mtu anayejua kitu hana haya uliyonayo bali huwa analeta hoja na maneno ya kumwokoa mwingine ila wewe ni haya ndio imani&kanisa limekuaminisha;
leta hoja,jibu maswali ya waulizaji,acha matusi,kumbuka hakuna mbingu kwa ajili ya wenye matusi na kejeli;
Hellen G White ameleta shida sana huku duniani.
 
Ujinga ni kutojiongeza kwamba mimi siyo Padre bali hilo chapisho limeandikwa na padre.

Lack of poor IQ.
Kumbe wewe ni padre!! Nilitegemea unyenyekevu wa kujibu hoja.Mbona mkali hivi ,kwa waumini wako inakuwaje. Jifunze unyenyekevu wa Yesu
 
Ndugu Mtukutu wa Nyaigela mimi pia ni Mkristo naomba nikuongeze hoja hapa nanukuu
"Biblia iliandikwa na watu waiovuviwa roho mtakatifu. Hivyo kuielewa inahitaji uwezo wako + uwezo wa roho mtakatifu...''

Inamaana hujui kama kuna vitabu vingine viliandikwa kama unavyoandika diary vile? mfano ukisoma injili ya Luka,Mathayo na Marko hawa waliandika maisha ya kila siku ama matukio ya kila siku ambayo walikuwa wanashuhudia na kuona kuhusu Yesu ndio maana kuna baadhi ya maeneo unakuta huyu kaweka huyu hajaweka so
mambo Mengine kuyaelewa usisingizie Roho mtakatifu tu bali tunapaswa kusoma na kuelewa na kufundishwa kama masomo mengine yalivyo ndio maana tulisoma Bible Knowledge na Divinity
Nakubaliana na wewe
 
Kama umeshakutana na mwanamke aliyepata cheo kwa kuvua chupi basi tabia yake na mleta hoja haina tofauti, nyie Moderators, hii takataka iliyoleta thread Iwe mwisho leo kuleta Uzi huku
 
Hii thread imekuzidi umri, nenda MMU kule utakutana na warembo wenzako.
Hivi we ni padre kweli au ni mngese flan hv,,umeleta mada mwenyewe halafu huna uwezo wa kuitetea unabakia kuwajibu watu kunya tu,,

Km we unajua matusi sn ebu tuombe mechi ya kirafiki mi na ww japo kwa dk 5 tu.
 
KUHUSU BABA MTAKATIFU PAPA FRANCIS

Kuna taarifa inasambazwa kwa kasi mitandaoni ikieleza kwamba baba mtakatifu Papa Francis amefuta rasmi Biblia na amependekeza kipatikane kitabu mbadala. Taarifa hiyo inaenda mbali na kueleza kuwa Papa kasema, "Biblia haifai tena kwa kuwa ni ya kizamani" na kwamba tayari mkutano mkuu wa kanisa umeitishwa kutekeleza agizo la Papa.

Napenda ujue...

1). Taarifa hii ilichapishwa kwa mara ya kwanza April, 2, 2018 na mtandao wa ThereIsNews.com (TIN). Huu ni mtandao maalumu wa habari za kutunga na vichekesho (fictional and humor) ambazo hazina uhalisia. Katika mtandao wao, kwenye eneo la tamko (disclaimer) wanaeleza wazi kuwa habari zote katika mtandao wao ni za kutunga ili kuchekesha (entertainment) na kwamba majina na maeneo vinavyotajwa katika habari yeyote havina uhalisia wowote na habari ama kichekesho wanachokua wametoa.

2). Katika kalenda na ratiba za Papa, hakuna tamko lolote kubwa kuhusu mabadiliko ya taratibu za kanisa hili lililotolewa muda huo uliotajwa na mtandao wa TIN.

Nini cha kuzingatia?

a). Habari hizi ni za uwaongo na kugushi zikilenga kuwatia hofu Wakatoliki na wasio Wakatoliki. Tukumbuke kuwa Shetani huwinda atuingizie hofu ili atushambulie kirahisi imani zetu. Ni vema tujifunze kuwa watafiti na wadadisi kila tunapopata taarifa za hofu. Mtindo wa kuzoa na kuamini kila taarifa unaweza kutumaliza.

b). Kanisa Katoliki ndio taasisi inayoongoza kutunza vyanzo vya kumbumumbu (bible historical sites) zilizopo ndani ya Biblia. Miaka nenda rudi wamekua wakitoa fedha, utaalamu na diplomasi, kuhakikisha miji ya Kibiblia na vitu vya Kibiblia vinalindwa. Kwa maana hiyo si hekima kuamini taarifa zinazoonesha kanisa katoliki halithamini Biblia hata kufika hatua ya kuifuta.

Ndani ya kanisa Katoliki kunaweza kuwepo madhaifu mengine ya kitaasisi (of which ni kawaida kwa kila taasisi), hata hivyo mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Badala ya kujibu hoja za mwanzo ulizoleta unaleta vitu vingine kama hujui chochote copy maswali peleka kwenye group lenu ulete majibu ukileta chochote jukwaani uwe na uwezo wa kukitetea kama hujui bakisha hukohuko whatsapp group
 
Niseme tu waroma wengi hawaijui Biblia wao wamekalili mapokeo zaidi ya Neno la Mungu. Wasabato Neno wanalo ila wameketi kwenye viti viwili kwa wakati mmoja kitu ambacho hakiwezekani mwisho wanajikuta chaka. Kikubwa nyote mumrudie Mungu muokoke ndipo utaji utakapoondolewa. Mfano wasabato hawakubali utakatifu duniani waroma kadhalika Huku wote wakivutana ktk siku ya kuabudu.
 
Nikumbushe tu kuwa wakati wa kusulubiwa kwa Yesu Kristo ni Warumi ndio walikuwa wanatawala hata Israel ilikuwa chini yake ( Hiyo ndio ilikuwa roman empire) walikuwa ni watawala tu wa kisiasa, hawakuwa na dini, walikuwa wapagani. Rumi ya kipagani. Baada ya sarakasi za hapa na pale wakaingilia ukirsto, mila zao na miungu yao ikaingizwa kwenye ibada ya kikristo kinguvu ,aliyepinga ,akuawa. Inakadiriwa watu Zaidi ya milioni 100 waliuawa katika mchakato wa kuondoa upinzani. Historia kama hii wengi hawaijui. Kwa hiyo wakiambia hili ni kanisa lililoanzishwa na Mtume petro wanaamini.
Hakuna historia kama hii
 
Penye msabato ni moto kwa mrumi

Katoliki lilikataliwa kitambo baada ya kukaidi kufanya matengenezo na Mungu

Kwa sasa mmebaki na kelele na sidhani kama kuna mtu aliyepata mwanga angalau kidogo wa biblia akaendelea kuwa serious nanyi
 
Penye msabato ni moto kwa mrumi

Katoliki lilikataliwa kitambo baada ya kukaidi kufanya matengenezo na Mungu

Kwa sasa mmebaki na kelele na sidhani kama kuna mtu aliyepata mwanga angalau kidogo wa biblia akaendelea kuwa serious nanyi
Uko sahihi na huu ndo ukweli wote, hakuna mtu yoyote yule aliye msomaji wa maandiko anaweza kuwa mkatoliki, huko katoliki wapo wasomewaji tu.
 
Wazee wa IBADA ZA WAFU, IBADA ZA MASANAMU, X MASS ,EASTER PAGANISM, UBATIZO FAKE, AMRI FAKE, KUNYWA USILEWE,

Pagatori, ....dah ROMA MMEUHARIBU ULIMWENGU KWA 99%

YAANI HADI UISLAMU , UNAFATA MAFUNDISHO YENU BAADHI....

FB_IMG_1540529670203.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom