Waambie katiba itaje wazi kuwa ukimfumania mkeo au mmeo ufanye nini?Ungependa katiba yetu iweje nipe maoni yako nami niyawasilishe
umesomeka mkuu nimelichukua.....Itamke kuwa mishahara ya viongozi wote wa serikali iwekwe wazi.
hapo umeua mkuuWaambie katiba itaje wazi kuwa ukimfumania mkeo au mmeo ufanye nini?
Wakuu wote wa mikoa wachaguliwe na wananchi husika ili kuepusha malalamiko ya mara kwa mara Vile vile iundwe serikali ya majimbo ili kwa maana ya kuongozwa na mkuu wa mkoa ambaye kwa marekan humwita senator[/QUOTE
sawa sawa mkuu
Tumeambiwa maoni tuyapeleke wenyewe kwenye Tume. Sasa hii ya kwako mbona mpya!Ungependa katiba yetu iweje nipe maoni yako nami niyawasilishe