Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,153
Iache huko huko nimeianika, we endelea na shughuli zako."aliyesahau chupi lake bafuni akaitoe jamani"
Iache huko huko nimeianika, we endelea na shughuli zako."aliyesahau chupi lake bafuni akaitoe jamani"
Ha ha haLupamba's grandson. Madem wapi babu, wale dadazangu. Kama vipi nikupe namba.
Maza hausi kanipunguzia kodi ila kasema nisimwambie mtu. Kwahyo mi zaidi naelekea tu kitonga
Sina pigia majivuOyaa Una dawa ya mswaki?
Ha ha haKuna mdau ameanua boksa yangu ya kijivu kwenye kamba ya kati angalieni kwenye nguo zenu plz mnirudishi Ina kitobo kwa chini
Sijaelewa boss umechapiaMandolini ni zile 110 za kizamank ya landrover za zamani taa zake ziko katikati hapa dar zinatumika sana kama break down
Kuna mdau ameanua boksa yangu ya kijivu kwenye kamba ya kati angalieni kwenye nguo zenu plz mnirudishi Ina kitobo kwa chini
Ni gari land rover 109 ( sema one zero nine)Mkuu mandolini ndio nini lol
Hahahaha we jamaa huyo jamaa siaende hapo nje kwa @casie anauza vitumbua ana jiko lakuni achukue hata mkaa au majivu apigie mswakiSina pigia majivu
Mandolini ni landrover za zamani ,hapa dar nyingi zinatumika kama gari za kubebea gari zilizo pindukaSijaelewa boss umechapia
Hahaha we jamaa urudishagi charger kabisa yaniNi gari land rover 109 ( sema one zero nine)
Samahani jirani utakua na charger ya smart yangu nimesahau ofisini.
Kah we jamaa toka umeamia hapa leo ndio umeongea pointJamani, pasaka nimeagiza lita20 za gongo kwa ajili yetu
Haha haMandolini ni landrover za zamani ,hapa dar nyingi zinatumika kama gari za kubebea gari zilizo pinduka