Edson JF-Expert Member Mar 7, 2009 9,845 5,064 Mar 8, 2010 #3 halafu tunalalamika, watoto wa siku hizi........................
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,723 Mar 8, 2010 #4 Mi huwa sinunulii watoto toy za namna hii! Ni Westernization ya culture hii!...Kwanini asiambiwe achonge mfano wa jembe au mtumbwi!
Mi huwa sinunulii watoto toy za namna hii! Ni Westernization ya culture hii!...Kwanini asiambiwe achonge mfano wa jembe au mtumbwi!
Raia Fulani JF-Expert Member Mar 12, 2009 10,848 2,670 Mar 8, 2010 Thread starter #5 halafu dogo anaonekana yuko makini ile mbaya