Leo tena! Watu wamegoma kumpisha Mama mwenye mtoto sisi wenye sura za upole tunapata tabu sana

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Huyu Mama kapanda basi na familia yake ya watoto watatu mmoja mdogo kambeba pembeni yake kuna jamaa hapo kavaa tshirt nyeusi kakausha tuli naona basi zima linanikata jicho mimi sasa nashindwa kuelewa kwanini wasimkate jicho huyu jamaa aliyevaa shati nyeusi maana ndio yupo karibu yake au kwa kuwa mimi nina sura ya upole jamaa kauzu naombeni mawazo jamani.

Nipo kwenye basi naelekea town
 
Tenda wema nenda zako....sio kila kitu uambiwe tu
Huyu mama kapanda basi na familia yake ya watoto watatu mmoja mdogo kambeba pembeni yake kuna jamaa hapo kavaa tshirt nyeusi kakausha tuli naona basi zima linanikata jicho mimi sasa nashindwa kuelewa kwanini wasimkate jicho huyu jamaa aliyevaa shati nyeusi maana ndio yupo karibu yake au kwa kuwa mimi nina sura ya upole jamaa kauzu naombeni mawazo jamani

Nipo kwenye basi naelekea town
 
Kama amepandia kituoni means bus terminal usimpishe coz ni amejitakia mwenyewe kwa haraka zake .but kama amepandia njiani hamna jinsi pisha hapo mimi bado nakukata jicho mpka ujibinue upande wa pili ukiona limekugusa ujue inakuhusu.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama kapanda basi na familia yake ya watoto watatu mmoja mdogo kambeba pembeni yake kuna jamaa hapo kavaa tshirt nyeusi kakausha tuli naona basi zima linanikata jicho mimi sasa nashindwa kuelewa kwanini wasimkate jicho huyu jamaa aliyevaa shati nyeusi maana ndio yupo karibu yake au kwa kuwa mimi nina sura ya upole jamaa kauzu naombeni mawazo jamani

Nipo kwenye basi naelekea town
Mpishe utabarikiwa mm nisinge hata jiuliza tenda wema malipo hapahapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom