Leo tarehe 28/08/2017 Redio free Africa inatimiza miaka 22, njooni tukumbushane vipindi na watangazaji

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Habari zenu familia ya JF. RFA redio iliyowahi kutamba na itambayo kiasi kwa sasa kutokana na ushindani, ilizaliwa 28/08/1995. Naskia Double G ama Godwin Gondwe DC Handeni akihojiwa na Najma kwenye kipindi cha Bonanza la RFA.

Jamaa anaongea kama mtangazaji mwanzilishi akitukumbusha mengi na kuomba wimbo wa Christina Shushon wa Tenda wema Nenda zako. Njooni tukumbushane vipindi na watangazaji wa hii Redio enzi zileeeeee.
 
Kipindi kilichokuwa kinateka hisia zangu na kunichukulia muda wangu kilikuwa SITASAHAU Kikiongozwa na Comrade ROY NGARIKI MAGANGA, kingine ni Boringo TYM chini ya Toto Ibrahim Msabaha,, kingine kilikuwa j/pili usiku Kipindi flan cha Nachi na simulizi za movie za kihindi muongozaji jina limenitoka,, Aiseee acha kabisa now RFA imepotezwa mbaya hakuna ubunifu na muda cyo mrefu Inauzwa coz mmiliki anadaiwa vibaya mno yaani Sioni mwanga wa kupona kwake kwenye hii Awamu
 
Nilipenda sana kusikiliza kipindi cha sintosahau.Saa nne na robo hadi tano kamili kila jumapili.

Simulizi iliyoniteka zaidi ilikuwa ya jamàa mmoja aliyeitwa Zabron around 2008/2009.
Jina lake alilopewa na Mizimu ya Babu yake ni CHIFUGIKANI Alitengeneza kitabu alipiga pesa sana akanunua na Gari LA kutembelea cjui yuko wapi huyo Jamaa MZEE wa gamboshi
 
Hivi mbona staa tivii kwangu haishiki wamekatiwa au mimi king'amuzi changu kina shida?!
 
Kipindi kilichokuwa kinateka hisia zangu na kunichukulia muda wangu kilikuwa SITASAHAU Kikiongozwa na Comrade ROY NGARIKI MAGANGA, kingine ni Boringo TYM chini ya Toto Ibrahim Msabaha,, kingine kilikuwa j/pili usiku Kipindi flan cha Nachi na simulizi za movie za kihindi muongozaji jina limenitoka,, Aiseee acha kabisa now RFA imepotezwa mbaya hakuna ubunifu na muda cyo mrefu Inauzwa coz mmiliki anadaiwa vibaya mno yaani Sioni mwanga wa kupona kwake kwenye hii Awamu
Kile kipindi cha j2 kilikuwa kinaitwa Hindustan na mtangazaji wake alikuwa anaitwa Prince baina kamukulu ambae ameshatangulia mbele za haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gabriel Lyotamu
Godwin Gondwe
Isack Gamba
Rehema Salim
Beatrice Masandika
Wambura Mtani
Zubery msabaha
Mkamiti Juma
Paul James
Deo Kiduduye.

Vipindi ni
Hakuna kulala
Boringo time

Sent using Jamii Forums mobile app
Lizisha Saghati, niliambiwa aliambiwa na mumuwe aache kazi RFA kwasasa mumewe ni marehemu, wapi Joan Itanesa, Stella Matias na some body Nyerere?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi kilichokuwa kinateka hisia zangu na kunichukulia muda wangu kilikuwa SITASAHAU Kikiongozwa na Comrade ROY NGARIKI MAGANGA, kingine ni Boringo TYM chini ya Toto Ibrahim Msabaha,, kingine kilikuwa j/pili usiku Kipindi flan cha Nachi na simulizi za movie za kihindi muongozaji jina limenitoka,, Aiseee acha kabisa now RFA imepotezwa mbaya hakuna ubunifu na muda cyo mrefu Inauzwa coz mmiliki anadaiwa vibaya mno yaani Sioni mwanga wa kupona kwake kwenye hii Awamu
Kipindi cha Nachi kilikuwa kinaongozwa na Prince Bayana Kamkulu( Marehemu kwa sasa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom