Leo tarehe 25 october CHADEMA hawaji kuisahau milele walivyobwagwa

Na Leo tuna kumbukumbu ya majonzi ya kifo rasmi cha uchumi wetu. Hakika mwaka huu mmoja maisha ya mtanzania yamedorora kama ng'ombe anayeugua sotoka. Kuna watu kama wangekuwa wanatumika kama kitoweo tungeshawafanya supu siku nyingi kuliko kuendelea kuwafuga

Mwisho na kifo cha uchumi wa wezi, wahujumu uchumi na mafisadi kama wewe lazima mpige kelele kwa kunyonyolewa kwa maji ya moto
 
Ni ujinga wa hali ya juu mwanao kumpa majibu ya mtihani alafu matokeo yakitoka amefauru unaanza kushangilia kama zuzu!

Nani asiyejua kwamba Lubuva alitangaza matokeo feki? nani asiyejua kwamba kipindi cha uchaguzi alikuwa analala iku..u? nani asiyejua kwamba matokeo ya mwisho hayaendani na hesabu amabayo hata mtoto wa darasa la pili angeweza kujumlisha. Mambo mengine mnajitekenya wenyewe mnacheka.

Kama mlishinda mbona mnaogopa UKAWA wasifanye mikutano yao?

Kwa ujumla uchaguzi Tanzania ni kiini macho na mimi nimeshaamua, kama tunaendelea na mzingira haya ambayo wasimamizi wa uchaguzi watabaki kuwa ni wakurugenzi wa halmashauri (DED) ambao kwa sasa hivi wamewekwa makada wa chama, na kama wasimamiz wakuu wa uchaguzi watabaki kuwa ni wateule wa rais mimi mwaka jana ndo ulikuwa mwisho wa kupiga kura, SIWEZI KUENDELEA KUSHIRIKI MAIGIZO. I stand to be corrected.
Wenzio wamekuwa na aibu kudai eti bara waliibiwa kura za uraisi
 
Pole sana. Siyo cdm tu hata upande wa pili pia hawataisahau kutokana na kichapo walichopata ambapo pasipo kuwepo wale wasiomjua na kumwombea Mungu tungekuwa tunaongea mambo mengine kwa sababu ktk mazingira hayo kusingekuwepo haja ya mgao wa kilo kumi kumi ili kupitisha noniino
 
Pole sana. Siyo cdm tu hata upande wa pili pia hawataisahau kutokana na kichapo walichopata ambapo pasipo kuwepo wale wasiomjua na kumwombea Mungu tungekuwa tunaongea mambo mengine kwa sababu ktk mazingira hayo kusingekuwepo haja ya mgao wa kilo kumi kumi ili kupitisha noniino
Lofa katika ubora wako!!
 
Back
Top Bottom