Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
Na Leo tuna kumbukumbu ya majonzi ya kifo rasmi cha uchumi wetu. Hakika mwaka huu mmoja maisha ya mtanzania yamedorora kama ng'ombe anayeugua sotoka. Kuna watu kama wangekuwa wanatumika kama kitoweo tungeshawafanya supu siku nyingi kuliko kuendelea kuwafuga
Mwisho na kifo cha uchumi wa wezi, wahujumu uchumi na mafisadi kama wewe lazima mpige kelele kwa kunyonyolewa kwa maji ya moto