Leo tarehe 25 october CHADEMA hawaji kuisahau milele walivyobwagwa

Woga wa CCM na serikali yake dhidi ya UKAWA hauakisi ushindi wa kishindo ambao anausema mtoa hoja hapa. Wanajua wenyewe siri yao...
 
Chadema wajanja Sana walijua Kuwa watashindwa wakajikita katika uuzaji WA T-shirt na bendera za chama hawakuwa na jipya na wajinga walipatikana T-shirt Elfu 15...? Yenye sura Ya lowassa....!!
 
Eti Peni za Tume ya Uchaguzi zilikuwa zinaipendelea CCM. Nyumbu wakavamia Madukani kununua Peni. Mbowe Mungu anakuona!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mwaka jana tarehe kama hii ni siku CHADEMA wapobwagwa na CCM uchaguzi mkuu
Baadhi ya Mambo ninayokumbuka siku hiyo

1.CHADEMA usiku wa kuamkia tarehe 25 OCTOBA WALIKESHA wakisherehekea na kutarajia ushindi hewa wa Mgombea Uraisi wao.Pombe za bure zilimwagwa kwenye mabaa mengi watu wakiongelea kwa mbwembwe na wakiwa wamejaa matumaini hewa kuwa mtu wao atashinda

2.Walilaghai wanachama wao kuwa waende na peni zao eti peni za tume zinabadilisha matokeo wacha watu wanunue peni madukani .Siku hiyo ilivunja rekodi kwa mauzo ya peni ambazo baadaye baada ya matokeo kutangazwa zilitupwa majalalani kama nuksi

3.Tarehe hiyo wafanyabiashara wengi hasa wa kutokea mikoa ya Arusha,kilimanjaro na Manyara hawaji kuisahau kwani ilikuwa ndio siku ya mazishi rasmi ya pesa zao walizochanga mamilioni wakitarajia CHADEMA itashinda kuwa zingerudi .Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka pesa zao zizame hawana hamu na CHADEMA wakisikia CHADEMA inatajwa wanasikia presha inapanda
MASIKINI,KUMBE CCM WALISHA TUMIA GOLI LA MKONO NA HATA ALIYEPEWA USHINDI HAJUI ALISHANDAJE NA KUPANGIWA CHA KUFANYA SASA.
ILA HAKIKA MUDA UTASEMA NA DAIMA GIZA HALIKUWAHI KUSHINDA NURU...LOADING ALUTA CONTINUA VICTORY ASCERTA....VIVA UKAWA..VIVA ENL...VIVA MAALIM
 
Nimepitia mawazo ya watu wengi humu nimegundua kitu kimoja.
Nfafanua.
Wale wote wa wliopigia kura ccm na walioshiriki kumuweka mtukufu mbabe, wanajuta na namba wanasoma kweli. Zaidi ya 92%. Ila wanajua wakisema ukweli watachekwa na kuniona wajinga.
Na wale tuliopigia ukawa roho zinatuuma kwani hii hali tuliifajamu kabla tukaikataa, Wadanganyika wa nguo wakavuruga malengo yetu yote.

Ushauri kwa wana ccm, Msifadhaike mioyoni mwenu kwani mnavuna mlichopanda.
Na sisi wa upinzani tupambane na hali halisi kwani hatuna namna tena.

Wangonjwa na wenye uhitaji bila kubagua vumilieni kwani kati yenu wapo walipewa nguo ila leo haziwezi geuka kuwa dawa.

Nimesema ya moyoni najua nitapingwa sana ila ukweli ndio huo na hautabadilika.

MUNGU UNAJUA TULIVYO TUEPUSHE NA MAJANGA, KWANI KWA SASA HALI NI TETE HATA KWAWAPAMBANAJI WA KWELI TUSIOTEGEMEA RUSHWA YA SERIKALI.

HONGERENI CCM MLIYOYATAKA YAMETINIA ILA MTAJIBU JUU YA HILI SIKU MOJA.
 
Naisikia ile sauti naisikia nikilala naisikia SAUTI YA LUBUVA.

"Hashim Rungwe Spunda kura 5 sawa na asilimia 0.002, Mama ana mgwira kura 1 sawa na asilimia 0.001,Ngoyai Edward Lowassa kura 49950 sawa na asilimia 49,John Pombe Magufuli kura 50200 sawa na asilimia 50.7"
Umenikumbusha Dr Shein wa CCM asilimia 45.6; Seif Sharif Hamad wa CUF asilimia 52.8
230x173
 
Tukutane oktoba,25...walijikaanga na mafuta yao wenyewe....watanzania walichagua ukweli na kuacha wavaa fulana za 'malofa na wapumbavu katika ubora wao'
Ulikuwa Uchaguzi wa aina yake duniani kimahesabu.
Mfano Kule Mbeya kwa mujibu wa Tume kuna jimbo unaambiwa kura Zilizo pigwa 120,000, Chadema kura 80,000 na CCM KURA 98,000.
Hapo hata akija mtaalamu wa hesabu hawezi kujua fomula gani ilitumika
 
WEWE NI MWANDISHI MBUNIFU.NAKUPONGEZA SANA.

Mwaka jana tarehe kama hii ni siku CHADEMA wapobwagwa na CCM uchaguzi mkuu
Baadhi ya Mambo ninayokumbuka siku hiyo

1.CHADEMA usiku wa kuamkia tarehe 25 OCTOBA WALIKESHA wakisherehekea na kutarajia ushindi hewa wa Mgombea Uraisi wao.Pombe za bure zilimwagwa kwenye mabaa mengi watu wakiongelea kwa mbwembwe na wakiwa wamejaa matumaini hewa kuwa mtu wao atashinda

2.Walilaghai wanachama wao kuwa waende na peni zao eti peni za tume zinabadilisha matokeo wacha watu wanunue peni madukani .Siku hiyo ilivunja rekodi kwa mauzo ya peni ambazo baadaye baada ya matokeo kutangazwa zilitupwa majalalani kama nuksi

3.Tarehe hiyo wafanyabiashara wengi hasa wa kutokea mikoa ya Arusha,kilimanjaro na Manyara hawaji kuisahau kwani ilikuwa ndio siku ya mazishi rasmi ya pesa zao walizochanga mamilioni wakitarajia CHADEMA itashinda kuwa zingerudi .Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka pesa zao zizame hawana hamu na CHADEMA wakisikia CHADEMA inatajwa wanasikia presha inapanda
 
Wasomi ilikuwa kituko mtu unamkuta kanunua peni mbili anasema ukiingia chumba cha kupiga kura kunaweza kuwa na teknolojia ya kuzuia peni isiandike kwa hiyo wengine walikuwa na peni mbili hadi tatu.Kwa mara ya kwanza niliona wasomi wakiwa mazezeta
kwa mara ya pili dk tulia,prof mbawala waongeza kura za udiwani.maajabu ya 9 haya
 
Katika vitu ambavyo viliniacha hoi ni hili la kalamu hadi wasomi waliingizwa mkenge eti wanunue kalamu hahahaha.
hahahaha dah nahis alofanya research na kugundua kuwa kila watanzania 4 mmoja nikichaa hakukosea
 
Umetimia mwaka mmoja sasa taangu ile sauti adhimu ya kutangaza matokeo ya Uchaguzi ki ukweli watanzania wengi walipenda Umahiri wako hasa kwenye Kutangaza matokeo ya Uchaguzi mkuu.

Jaji Uliweza Kusimamia Uchaguzi vizuri na ukamtangaza mshindi ambaye watanzania wengi walimpigia kura nyingi naye si Mwingine ni Dkt John Pombe Magufuli Rais wa watu anayependwa na Watanzania wote

Hakika Sauti yako itaendelea kukumbukwa katika fikra za watanzania wengi.

With regards
Troll JF
Lumumba
 
Back
Top Bottom