Leo tangu mchana najisikia kifua kinabana na kichwa kuuma throughout!

Mkuu Mimi nimekata harufu kabisa na ladha ya chakula sasa Kwa style niendelee kushangaa Tu bila kuchukua hatua ikiwemo na kujifukiza?

Ni kweli MUNGU anatulinda lkn hii Hali imenitisha Sana hasa kutosikia harufu ya kitu chochote
 
Mimi wiki ya tatu sasa, ni homa kali, kikohozi kikavu, mafua makavu, nahisi harufu ya damu kama inataka kutoka puani, macho nkifunga nikayagusa juu yanauma hatari, njaa kali mara kwa mara

Na bado nipo tu naendelea na mambo yangu.
Aisee hapo Kwenye harufu kama damu ndiyo hiyo Hali ambayo Niko nayo mpaka harufu ya kitu chochote sisikii Ila nimeona isiwe shida hii jioni nimeanza kujifukiza potelea-mbali
IMG_20210121_221257.jpg
IMG_20210121_221312.jpg
 
Mm siku Kama 3 zilizo pita nilikua na khali isiyo ya kawaida....

Nilitaka ku create uzi Kama huu...

Sikua na taste ya chakula Wala kunusa nilikua nasikia hewa inanuka.....

Kifua Kilikua kinabana na makohozi plain.....

Achen tyu jamani nimepona bila dawa..

Nilikua nasikia harufu ndani KWA ndani harufu kali kutoka kifuani......
 
Kitakochokuua ni huo wasiwasi wako na imani ndogo. Unaishi maisha ya ajabu sana mpaka aliyekuumba anakushangaa.
 
Hata mweshimiwa anajua ipo, hawez kuja dar sa hv , hawez ....atafanya fanya ziara huko mpak Hali itengemae
 
Mimi wiki ya tatu sasa, ni homa kali, kikohozi kikavu, mafua makavu, nahisi harufu ya damu kama inataka kutoka puani, macho nkifunga nikayagusa juu yanauma hatari, njaa kali mara kwa mara

Na bado nipo tu naendelea na mambo yangu.
Piga kazi mkuu.
Hizo hofu na kujazana ujinga tuwaachie wazungu na waKenya.
 
Malimao bei rahisi sana. Fungu buku tu, tangawizi ndo usiseme kilo buku hadi buku jero.

Unashindwa kwenda kununua ujiongezee kinga, unakaa unajitest "mara harufu sisikii, mara koo linaniwasha, mara kichwa kinauma sana, mara mwili umechoka, mara macho yanauma" baadae unakata roho kizembe kwa kukosa maarifa.

Umezaliwa nchi yenye neema kama hii na bado unasumbuliwa na hivi vi-maradhi vya ajabu ajabu.
 
Mimi wiki ya tatu sasa, ni homa kali, kikohozi kikavu, mafua makavu, nahisi harufu ya damu kama inataka kutoka puani, macho nkifunga nikayagusa juu yanauma hatari, njaa kali mara kwa mara

Na bado nipo tu naendelea na mambo yangu.
Dah! Wewe umeugua ugonjwa Kama wangu umenilaza kitandani wiki nzima nilianza na mafua kikohozi mwili pia nikawa sihuelewi uchovu wa ajabu mixer kichwa na macho kuuma then nikapoteza na hamu ya kula namshukuru mungu sasa hivi naendelea vizuri japo kikohozi bado kinasumbua halafu hata nikila nawai kusikia njaa mpaka nahanza kusaka msosi
 
Corona mnaigopa Sana, ila ikitaka kukuua unakufa na hizo "tahadhari" zako mkononi.

Italy walikufa na wengi na barakoa zao ndani wamejifungia, same to US.

Kuweni na imani iliyokuu Sana kuwa Mungu Muumbaji aweza yote, maana kwa umasikini wetu tahadhari dhidi ya Corona si silaha ya kuiondoa, ila Mungu pekee!

Mungu atuepushe na hili

Ndiyo maana pamoja na yote tumekalia kuongeza kodi na michango lukuki ikiwamo ya ujenzi wa madarasa.

Looh!

Hizi Trump aliziita kwa majina yao kamili: "shit hole countries!"

Eti wana hofu ya Mungu. Mungu yupi anayeendekeza ujinga?

"Watu wangu wanangamia kwa kukosa maarifa," asema bwana wa majeshi.
 
Yaani mtu anasemea afya yake binafsi halafu wajinga wanapinga.

Huu ulambaji wa viatu ni wa laana kabisa.

Afya ni yangu dalili za corona nazijua wewe fala tu unapinga.

Mbona nikisema naharisha hampingi.

Nasema Nina Corona tangu jumatatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom