Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,175
- 25,446
Muda huu,maeneo ya Ubungo,Survey na Sinza Dar es Salaam hayana umeme. Kuanzia saa kumi jioni,umeme umekatika mara tano. Leo mmetuweza.
Huko mlipo vp?
Huko mlipo vp?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo TANESCO
Muda huu,maeneo ya Ubungo,Survey na Sinza Dar es Salaam hayana umeme. Kuanzia saa kumi jioni,umeme umekatika mara tano. Leo mmetuweza.
Huko mlipo vp?
Muda huu,maeneo ya Ubungo,Survey na Sinza Dar es Salaam hayana umeme. Kuanzia saa kumi jioni,umeme umekatika mara tano. Leo mmetuweza.
Huko mlipo vp?
Yaani wewe kuanzia saa kumi jioni.ndio wamewaweza?
Wenzio huku siju ya 3 sasa
Muda huu,maeneo ya Ubungo,Survey na Sinza Dar es Salaam hayana umeme. Kuanzia saa kumi jioni,umeme umekatika mara tano. Leo mmetuweza.
Huko mlipo vp?
Huku Mbezi Beach hakuna na umekatika mida ya saa moja kasoro hivi.....
MIddle finger kwa Tanesco.....
Mwanza kila siku asubuhi wanakata vilaza sana hawa TANESCO
Muda huu,maeneo ya Ubungo,Survey na Sinza Dar es Salaam hayana umeme. Kuanzia saa kumi jioni,umeme umekatika mara tano. Leo mmetuweza.
Huko mlipo vp?
Jaman tuvumilieni tu tupo kwenye mchakato wa kuurudisha mda c mrefu