Leo Taifa Stars anafungwa 1-0 na Lesotho

Habari zenu wanajamvi.

Leo ninapenda kuchukua nafasi kuwashukuru nyote kwa kuwa na imani na Timu ya Tanzania ya mpira wa miguu tangu hapo awali mpaka tamati yake hii Leo.

Licha ya kutambua wazi kuwa hatutafika popote kwenye michuano hii, bado mkaendelea kuamini kuwa "Kuku atameza Papai".

Leo ndio tunaenda kufunga pazia la michuano hii kwa upande wa timu yetu kwa kichapo cha "bao moja kwa nunge".

Naomba tuendelee kuwa pamoja na timu yetu hata kama tu najua kabisa kuwa tunaenda kufungwa. Maana hakuna namna pekee ya kuonyesha uzalendo zaidi ya kukubali hali halisi.

Iandaeni mioyo yenu maana Imeandikwa. "Mwana wa Adamu atashinda mechi chache za kwanza, siku ya pili atakula kichapo na siku ya tatu atapaishwa na Lesotho" Taifa 4:2-0.

575a16ac4aa7085ec566e3dd5f81c875.jpg
Aibu yetu
aibu yao aibu yako mwenyewe hahahaha,jitahidi kwenye unajimu hata marehemu shekh yahya alikuwa anakosea pia,pole bhana,ndio maisha uliyojichagulia so huna budi kupambana na hali yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom