Leo sikukuu jaman?

Hii skukuu haina promo,yaani huku uswahilini kupo kimya sana husikii hata wakina mama wakizungumzia kupika pilau leo.
 
Hii sikukuu mimi nimeitambua Asubuhi.Vyombo vya habari havikufanya kazi yake vizuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom