Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Leo ni Novemba Mosi , 2019. Ni siku 7 zimepita toka 'kamshahara' kutoka ( Octoba 24 ,2019)...
Kamshahara kenye ngeu za Loan Board , Kodi , Pensheni , NHIF na mkopo wako wa benki ama Platinum... Tuache ile mikopo ya mtaani na makazini midogo midogo.
Haya sasa. Bado siku 22 mshahara utoke , takribani wiki 3 kuanzia sasa. Siku si nyingi sana kama una mzigo wa chakula na una nauli ya kazini na hela ya bundle !
Tunatoboa kiume.