Leo nitakwenda USWISI

Kila kheri! Ucsahau kunichukulia, mwenye makalio makubwa ya kutepeta kidogo, na awe kavaa kikuku, langi awe black mrembo, pale cuba
 
mkuu usije na wewe ukayafisidi hayo majinoti! safari njema mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukikutana na Mzee Daud Balali mwambie M4C tunamtafuta aje ajibu maswali yanayohusianaa na ukeketaji na ubakaji wa fedha za umma
 
naomba uniletee Ferrero Rocher.......nazipenda sana.......
 
Nimetumwa na chama-CCM na Serikali. 'Kudeal' na mihela ya Wazito ile ya Zitto.Nitakosekana humu kwa majuma kadhaa. Tuombeane. Mkimuona Cacico,mwambieni nakumbuka maagizo yake. Mbaki salama!
Mzee Tupatupa ol the best babito! uende na urudi salama, nazisubiria zawadi zangu nilizokuagiza urudipo! nakuombea kila la kheri uwe unatu-update uwezapo! MUNGU WETU MWEMA AKULINDE, amen!
 
Last edited by a moderator:
Nimetumwa na chama-CCM na Serikali. 'Kudeal' na mihela ya Wazito ile ya Zitto.Nitakosekana humu kwa majuma kadhaa. Tuombeane. Mkimuona Cacico,mwambieni nakumbuka maagizo yake. Mbaki salama!

Unataka kwenda Uswizi au unataka kupatwa na uchizi? USIMTAJE TENA cacico
 
Last edited by a moderator:
Mzee Tupatupa

Kila kheri na hata hivyo kuwa makini na TISS wanaweza wakakufanya chambo!

BE CARE BEST!
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mzee Tupatupa ni tumaini la mabadiliko ndani ya Magamba Camp. Kila la kheri Mkuu...
 
Back
Top Bottom