Leo ningependa kuzungumzia urembo kwa WANAWAKE.....!

Kinachofurahisha na kutia moyo zaidi hadi wengine kuyapenda maisha ni kujua kuwa manjonjo yote hayo ni kwaajili yangu kwa kiasi kikubwa ...... lol!
Acha niyapende maisha, Mungu nipe kuishi kwingi nipate vingi vinono!

Cc: snowhite
 
Last edited by a moderator:

Kaka hujambo lakini...
Unajua unalo deni kule mahali pa siku ile...?

Nione tafadhali kabla jua halijazama..................!
 
best kuna watu wana mahangaiko ya dunia mmmh acha tuwapishe

shost kuna watu wanajiremba we acha tu ukimkuta asubuhi sura nyingine, mchana nyingine na usiku ninyingine, kesho nyingine na keshokutwa anasura nyingine apo ni mwendo wa makeup kwa kwenda mbele......! Mtu aliyejizoesha sana hayo makitu siku asipopaka anajiona kama mtu anae tembea uchi!
 
Kaka hujambo lakini...
Unajua unalo deni kule mahali pa siku ile...?

Nione tafadhali kabla jua halijazama..................!

Kaka sijambo....
Kuhusu kule aisee kweli naelewa nina deni kubwa sana, ila usijali tutayamaliza tu wangu.

Majanga majanga kamanda, nafikiria nipite pande zako pale nije kupiga juice nihudumiwe na moja ya warembo waliojiremba kama hawa hapa kwa huu uzi ntakupa full mkanda tucheke wote na haya matatizo....!
 
Bora wewe nyusi zako unazichana na kitana, lakini Asnam... Mweh! Ana minyusi timu timu na wala haziweki kwa unadhifu.....LOL

hahahaaa...... Mtambuzi ugomvi huo ujue lol! Enzi za primary tulikuwa tukitaniana eti lione minyusi imezagaa kama msitu wa serengeti.... Lol!
 
Last edited by a moderator:
Asante baba yangu kipnz Mtambuzi kwa darasa kwa ujumla,km ujuavo mwanao hapo kwenye nyusi na kope ndio penyewe!!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi mie niweke kwenye list ya mazoezi nilianza kipindi flani nikawa natembea hadi morocco ila watu wakanitolea mimacho na kunishupalia, wengine wakanitisha kuwa kuna vibaka njiani na nini nikaacha would like to do that as a team, hope to be there soon nikifika hapo Exim Towers saa kumi na moja jioni will meet other team right?
 
Utatukuta tu besti...halafu wengine tutatembea kuelekea Morocco na kuwaacha kina Mtambuzi na vikongwe wenzake.
Hivi ule mpango wako wa jogging hadi Morocco uliacha?
 
Last edited by a moderator:
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom