cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,373
- 2,385
Asikuchoshe mkuu huyu ni mlugha lugha tu wale baharia wa vijiwe vya kahawa alipo niacha hoi ni alipotumiwa passport kwa email na kwenda kupanda ndege kama daladala.Mkuu seaman book ni certified document ambayo iko signed and stamped kama passport, CV ni piece of paper tu ambayo unajiandikia na inaweza ukawa umedanganya tu mpaka followup ifanyike kuthibitisha ulichoandika.. In onboard job hasa za Cargo, tankers, Roro, Chemicals long safari's ,process yake ya recruiting sidhani kama inaweza kuwa rahisi hivyo..otherwise itakuwa ni hizo shunters na kuna mahala umetaja Saudi-Aramko labda ni hizo supply boat za kwenye rigs na meli za uchimbaji.. Hiring process haiwezi kuwa rahisi hivyo tena you are not proffessional unaenda kuwa oiler bado napata shida kuamini..