Leo Nimeziba!!!!!!!!!!!! Drostdy Grand Cru 5ltrs Noma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo Nimeziba!!!!!!!!!!!! Drostdy Grand Cru 5ltrs Noma!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mchaka Mchaka, Jan 29, 2012.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  wakuu jana nilinunua Drostdy Hof Grand Cru wine ya Litre TAno!
  leo toka asubuhi baada ya breakfast nikaanza kuinyonya..dah!
  mpaka sasa niko ziiib! nina rahaje!!! Jumapili hii!!!!!
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Siwapendi masharobaro! lakini huu wimbo wa Mr.Blue unanihusu leo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, nimelewa tilalila! nimekunywa tilalila! nimelewa tilalila! x 2
   
 3. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mwanaume utakunywaje wine bhana! kha! .....piga ki2 spirit.
  POPOBAWA.
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  mkuu ushauri wako ninaufanyia kazi! ila spirit nilishakunywa sana ila kwa sasa nimepumzika!
   
 5. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  wine inakulegeza, utakuwa kama iyo avatar yako
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  kudosi.
  POPOBAWA.
   
 7. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  wine nasikia wanakunywa mabint kusud wapate nyege.
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  mkuu mbona hata wewe unaonekana umelegea..umekunywa wine?
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....kama nakuona vile mkuu...iyo kitu ni tamu aje?
   
Loading...