Leo nimewachekesha vibaya sana abiria kwenye basi

Mzuqa wanajf,

Nilikuwa nashuka kwenye kituo changu mlango wa nyuma. Licha ya kubonyeza kengele mlango bado ulikuwa haufunguki ila wa kati ulifunguka. Nikapiga kelele kwa lafudhi kali ya Arusha kumshtua dereva Yereeeeeeeeeeeeeh kilichofuatia ni mlipuko wa kicheko cha hatariiii. Mlango ukafunguka kabla sijashuka nikaachia nyingine yeyoooooooooh huku nyuma yangu nikiacha watu mbavu hawana. Huyooooo nikasepa zangu.
Nadhani walicheka kuona li monkey limetaitiwa....
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom