henrykilenga
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 294
- 299
YereeeeeeeeeeeeeeeehSio dhambi kutoelewa kila kitu.
Wacha linipite na hili.
YereeeeeeeeeeeeeeeehSio dhambi kutoelewa kila kitu.
Wacha linipite na hili.
Bangi za mamtoni!bangi ni mbaya sana... haswa mchana..
Yani msokoto mmoja tu elfu 60 madaf maamaeBangi za mamtoni!
Mkuu am rapidly approaching 30Una umri gani ?
Mkuu basi copenhagendaladala au bus lamkoa????
Mkuu ni basi la hapa copenhagen yani wazungu walicheka balaaUmerudi lini daresalama kutoka Denmark?
Nadhani walicheka kuona li monkey limetaitiwa....Mzuqa wanajf,
Nilikuwa nashuka kwenye kituo changu mlango wa nyuma. Licha ya kubonyeza kengele mlango bado ulikuwa haufunguki ila wa kati ulifunguka. Nikapiga kelele kwa lafudhi kali ya Arusha kumshtua dereva Yereeeeeeeeeeeeeh kilichofuatia ni mlipuko wa kicheko cha hatariiii. Mlango ukafunguka kabla sijashuka nikaachia nyingine yeyoooooooooh huku nyuma yangu nikiacha watu mbavu hawana. Huyooooo nikasepa zangu.
Acha porojo wewee mkaldayo. Kwanza walikuwa kimya ndani. Am sure i made their dayNadhani walicheka kuona li monkey limetaitiwa....
Kila la kheri.Mkuu am rapidly approaching 30
Whaaat? Are you serious!
KINACHOCHEKESHA HAPO NI BANGE.Sijajona cha kuchekesha hpo