Leo nimewachekesha vibaya sana abiria kwenye basi


A

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Messages
524
Likes
607
Points
180
A

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2018
524 607 180
Wakazi wa ulaya kila kitu kwao wanaanzisha thread , leo hii sijui nini hii
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
7,663
Likes
5,698
Points
280
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
7,663 5,698 280
Mzuqa wanajf,

Nilikuwa nashuka kwenye kituo changu mlango wa nyuma. Licha ya kubonyeza kengele mlango bado ulikuwa haufunguki ila wa kati ulifunguka. Nikapiga kelele kwa lafudhi kali ya Arusha kumshtua dereva Yereeeeeeeeeeeeeh kilichofuatia ni mlipuko wa kicheko cha hatariiii. Mlango ukafunguka kabla sijashuka nikaachia nyingine yeyoooooooooh huku nyuma yangu nikiacha watu mbavu hawana. Huyooooo nikasepa zangu.
Nadhani walicheka kuona li monkey limetaitiwa....
 
harder king

harder king

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
2,321
Likes
3,060
Points
280
Age
30
harder king

harder king

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
2,321 3,060 280
Itakua walikuona chiz tokea mbali na hayo maneno yaliwafanya wadhibitishe kile walichokua wanakidhania.
 
superbug

superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
1,383
Likes
1,772
Points
280
superbug

superbug

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2018
1,383 1,772 280
Another kisandu
 
Wolf

Wolf

Senior Member
Joined
Oct 27, 2015
Messages
179
Likes
121
Points
60
Wolf

Wolf

Senior Member
Joined Oct 27, 2015
179 121 60
Umeshamaliza mitihani yako ya kidato cha Nne?
 

Forum statistics

Threads 1,237,176
Members 475,465
Posts 29,280,395