Leo nimeumia kuona Mwanamke anateseka

May 22, 2017
65
298
Muhumu kuliko yote.

1.Tuwape mitaji wake zetu ili wasimame wenyewe mapema.

2.Tuandike warithi mapema
Usione fahari kuoa mwanamke ukirudi nyumbani unakuta kaandaa mahanjumati tu, bingilibingili michezo ya Sakafuni, kuna leo na kuna kesho haupo, wanawake wanateseka sana baada ya wanaume zao kufariki.

Mwanaume Jifunze kwa wanawake unaowaona wanateseka leo hali ya kuwa kabla walikuwa wanaishi vyema na Waume zao
Mwanamke amkaa
 
Usione fahari kuoa mwanamke ukirudi nyumbani unakuta kaandaa mahanjumati tu, bingilibingili michezo ya Sakafuni, kuna leo na kuna kesho haupo, wanawake wanateseka sana baada ya wanaume zao kufariki. Mwanaume Jifunze kwa wanawake unaowaona wanateseka leo hali ya kuwa kabla walikuwa wanaishi vyema na Waume zao
Mwanamke amkaa
Leta mkasa
 
Umeongea jambo la msingi sana.Elimu imetosheleza
 
Hapa ungewashauri wanawake wabadili tabia ya kuwa jeuri pindi washikapo hela ndio ninhekuona umeongoa point....... Maana hakuna mwanaume anaependa kuona mwanamke anateseka ndio maana mwanaume anaweza akampa hela mwanamke akale chips mayai alafu yeye akashindia mihogo.

So washauri wanawake wawe na akili pindi washikapo hela
 
Muhumu kuliko yote.

1.Tuwape mitaji wake zetu ili wasimame wenyewe mapema.

2.Tuandike warithi mapema
Usione fahari kuoa mwanamke ukirudi nyumbani unakuta kaandaa mahanjumati tu, bingilibingili michezo ya Sakafuni, kuna leo na kuna kesho haupo, wanawake wanateseka sana baada ya wanaume zao kufariki.

Mwanaume Jifunze kwa wanawake unaowaona wanateseka leo hali ya kuwa kabla walikuwa wanaishi vyema na Waume zao
Mwanamke amkaa
we! mwanamke anapenda malalamiko hivyo unatakiwa utushauri tuwape kichapo kila sk japo kidogo huku tukiwabembeleza wakati wakilia kwa kwikwi huku wakiachilia malalamiko yanayoleta mahaba mazito unapoweza kumtawala we vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom