NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 998
Kipindi kile cha Ulokole kwenye makanisa yetu tulikuwa tunajisifia NA kuulizana "mwenzanu unamiaka mingapi mpka sasa kwenye WOKOVU"
Na ilikuwa ni sifa kubwa kushirikishwa kwenye vikao vya wakubwa kama ungalau unamiaka 4 kwenye WOKOVU bila kuangaka (kufanya dhambi) na wengine chini ya miaka 4 ilitafusiliwa kama bado wanaukulia WOKOVU.
SASA LEO NASEMA HIVI tangia nimejiunga kwenye chama fikirishi tarehe 11 February 2014 cha JAMII FORUM sasa ni miaka 5 .
Hakika kama ni chuo nina PhD sasa.
Hebu tuambie una miaka mingapi wewe mpka leo humu Jamvini au bado unakunywa maziwa yasioghoshiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app